Uchaguzi 2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

Alivyokataa tu ubunge wa viti maalum kutoka kwa M/kiti wake Mbowe,hapo hapo nikagundua kuwa huyu mamvi ana lake jambo[emoji3]
 
Ni UJUHA kuandika huu UPUUZI WAKO ukiwa huna ushahidi wowote wa kuthibitisha ulichoandika. Mimi na fisadi Lowassa wapi na wapi? 😳😳😳😳
Ninachofahamu lami mlideki; kwa viapo pia kuwa alipo mpo.
 
TAAHIRA wewe mie na huyo fisadi Lowassa wapi na wapi? Hebu lete huo ushahidi wa mie kuandika huo UPUUZI wa alipo fisadi Lowassa na mie nipo. Mirembe inakuhusu wewe kwa kuandika upuuzi kama huu. Wahi kabla hujaanza kuokota makopo na kutembea uchi.

Kwa namna tuu unavojaa povu inaonesha ni jinsi gani una akili za kudekishwa lami na lowassa
 
Lowassa alihama chadema kwa shinikizo kwamba mkwe wake ataachiwa huru kama ataunga mkono juhudi

Namwonea huruma maana ameunga mkono juhudi na mkwe wake ndo kwanza anazifi kusotea rumande

Kwa kifupi majuto yake ni makubwa na hana jinsi zaidi ya kulamba miguu ya jiwe la mtoni.
Bado hadi sasa hakijaeleweka !! Binti haamini kama Muzee ameshindwa kupindishaa shughuli ile ameharibu kazi BoT sasa amehamishwa A town kumdhibiti kwa utoro ....jamaa mwaka 4 ameziea sasa nyapala mahabusu !! Siasa za visasi mbaya sana !!
 
Juha wewe acha kutuharibia Kiswahili INAONESHA ndiyo upuuzi gani?
Sasa hapo tunaenda kwenye taaluma zaidi, "inaonesha" ni neno fasaha tofauti na lile mmezoea kutamka.
Mzizi wa neno hilo ni "ona "ni vigumu kwa wakurupukaji kama ninyi humu jf kuelewa.
 
HApana mkuu, ispokuwa Siri za ndani ya CCM, Chadema walishindwa kuzing'amua, ndicho kinachotoka leo

Hivi Mimi niombe kuuliza Leo Kwa swali ambalo libaendelea kunitesa,

Wakati nchi inakubali kuingia Vyama vingi, Je Tanzania ililipokea Kwa mikono miwili maamuzi hayoo ama ni zilifanywa kuwa agenda za Siri saaana za Viongozi ndani ya Ccm na nje ya CCM?

Kwa nini?

Mbona upinzani haujawahi kuimarika sasa ni zaidi ya miaka 20?

Upinzani ukionyesha kuimarika tu, ujasusi wa kisiasa unafanywa ili kurudishwa nyuma hatua elfu,?

Na inasemekana hata hao viongozi wa kisiasa Vyama pinzani wanadamu za Ccm na wanamaslahi ya moja Kwa moja na CCM?

Na sasa; Mimi naelekea kutokupiga Kura kabisa miaka yote, Kwa sabb sielewi
ndo maana nashangaa baadhi ya watu wanamponda lowassa hivi lowassa vile ooh kala matapishi yake
lowassa naamini kabisa kuingia kwake upinzani kuna jambo alikua amekusudia kulifanya uchaguzi umepita amerudi zake ccm
sasa wanaomcheka bila hata kujua siasa zinaendeshwaje tz bila kujua lowassa alikua waziri mkuu anajua mambo yanavyoendeshwa nashangaa sana
 
Acha kuharibu Kiswahili mpumbavu wewe.

Sasa hapo tunaenda kwenye taaluma zaidi, "inaonesha" ni neno fasaha tofauti na lile mmezoea kutamka.
Mzizi wa neno hilo ni "ona "ni vigumu kwa wakurupukaji kama ninyi humu jf kuelewa.
 
Wallah ni kweli; kama hujafa hujaumbika. Kwa nini Lowasa anadhalilishwa hivi na kiasi hiki? Pengine hana watoto waliosoma wamshauri kutojidhalilisha kufikia hatua hii? Isitoshe muda wake wa kuishi umebaki kidogo, anaangaika na nini hadi ajidhalilishe hivi na kiasi hiki? Hakika, genuinely, nimesikitika sana!
.
.
.
Usiwe boya "Muda wa kuishi umebaki kidogo" umebaki kidogo wewe Mungu. Siasa zisikutoe ufahamu ukaanza kujipa umungu wa kuwapangia wenzio kifo.
Hongera wewe una muda mrefu wa kuishi.
 
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake

Ukiwa Fisadi na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.

Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.

Yale yale Membe atafanya.
Hana tofauti na wewe
Lowassa alipogombea kupitia chadema ulimpigia deki,tulisema fisadi,wewe na Tundu lissu mkatujibu kama ni fisadi mbona hatujampeleka mahakamani
 
Alivyokataa tu ubunge wa viti maalum kutoka kwa M/kiti wake Mbowe,hapo hapo nikagundua kuwa huyu mamvi ana lake jambo[emoji3]

Hata kwenye vikao vya chadema ilikuwa nadra sana kuvaa vazi la chama. Alikuwa na lake jambo lakini wenyewe wakaimbishwa nywele nyeupe, roho nyeupe.
 
Hata kwenye vikao vya chadema ilikuwa nadra sana kuvaa vazi la chama. Alikuwa na lake jambo lakini wenyewe wakaimbishwa nywele nyeupe, roho nyeupe.
Naona Mwenyekiti akimpokea fisadi hapo huku anacheeeka kwa furaha.
tapatalk_1581511567658.jpg
 
.
.
.
Usiwe boya "Muda wa kuishi umebaki kidogo" umebaki kidogo wewe Mungu. Siasa zisikutoe ufahamu ukaanza kujipa umungu wa kuwapangia wenzio kifo.
Hongera wewe una muda mrefu wa kuishi.
Hukuelewa dhana. Binadamu na viumbe hai vingine, huzaliwa, hukua, huzeeka na kisha kufa. Huo ndio ukweli wa kisayansi. Na huo ndio msingi wa statement yangu.
 
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee aliyechukua fomu ya kuwania Urais Tanzania kupitia Chama hicho.
Mzee msanii sana huyu, katuzungusha mikono watanzania weee....!! hata kutuambia asanteni kwa kampipigia hakuna !! Sasa hivi anaongoza mapambio ya kusifu na kuabudu!!
 
Nilijua tu yatatokea haya. Lilikuwa suala la muda tu. Mtu mmoja aliwahi kuonya humu JF kuwa CHADEMA imefanya mistake lakini aliishia kutukana but leo hii unabii umetimia
 
Back
Top Bottom