Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Safi sanaWaziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020
Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee aliyechukua fomu ya kuwania Urais Tanzania kupitia Chama hicho