He he heee! Mbowe anaongea kiingereza kama aongeavyo kichaga. Nazungumzia anayeongea kisukuma kwenye hotuba za kitaifa, wakati lugha za taifa ni kiswahili na kiingereza!Kwahiyo mbowe kwa vile ajui kingereza tunamtuma Lowassa?
Kama rais wako tu kashikwa mkono akapata baraka na miujiza kutoka kwa EL sembuse majirani. Think big.
Mkuu huyo alikatwa mkia mkuu sema anauchungu na nchi na anachuki Na lowasaWewe mtoa mada lini wamekukata mkia na kukuingiza kwenye zizi la ng'ombe?, mimi nakujua wewe ni ukawa, au kuna mtu anachezea akaunti yako
View attachment 394510
Baada ya kuona mwaliko wa Edward Lowassa kwenye Uzinduzi wa chama kipya nchini Kenya cha Jubilee Party hapo jumamosi tarehe 9 September nimejiuliza maswali mengi sana bila kupata majipu!!
1: Hivi ni nchi gani Dunia ambayo ilishawai kufanya kitendo ambacho Kenya wanakifanya cha Kutengeneza chama ndani ya chama wakati hivyo vyama unavyovivunja ndivyo unavitumia kutawala?
2: Rais aliyepo madarakani kuanzisha chama kipya cha siasa ambacho atakitumia katika uchaguzi ujao hiki nacho ni kituko kingine ambacho sijawai kiona kokote Duniani!!
Kama kuna mtu alishaona hii kitu kokote duniani aseme!
3: Lowassa anaalikwa kwenda kwenye uzinduzi huo kama nani hasa
Mimi ninavyojua waalikwa uwa ni Mwenyekiti wa chama ,Karibu wa chama, Au kiongozi mkuu wa chama ( Chifu)
3: Sasa huyu ndugu yetu Lowassa anaenda kama nani huko ni mjumbe tu wa Kamati kuu anaenda kukiwakilisha chama tena nje ya nchi?
4: Sasa kwa nini tusiamini Maneno kwamba Lowassa aliinunua chadema?
Lakini alianguka vibaya na kushindwa uchaguzi mwaka 2007 na kusababisha machafukomwai kibaki kaanzisha PNU akiwa madarakani na akagombea nacho muhula wake wa pili, je uliuliza hilo? au kwa sasa umewashwa kwa kuwa lowassa kaalikwa?!
Aisee nimecheka mno [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti ni akili ya maitiHicho cheo walichomtambulisha nacho ndicho alichokwenda nacho.
Kwanini usifikiri zaidi ya box?
Kuna kumuakilisha mwenyekiti,kuna kwenda kama rafiki wa waanzilishi wa chama,kuna kwenda kama mzoefu wa siasa za chini chini,kuna kwenda kama mwanasiasa wa upinzani n.k n.k
Ishu ya kununua chama ni akili ya maiti
Hekima /utashi /busara,,, ni Vigezo kuu vya yeye kuvutia dunia, pia ni mtu wa AMANIView attachment 394510
Baada ya kuona mwaliko wa Edward Lowassa kwenye Uzinduzi wa chama kipya nchini Kenya cha Jubilee Party hapo jumamosi tarehe 9 September nimejiuliza maswali mengi sana bila kupata majipu!!
1: Hivi ni nchi gani Dunia ambayo ilishawai kufanya kitendo ambacho Kenya wanakifanya cha Kutengeneza chama ndani ya chama wakati hivyo vyama unavyovivunja ndivyo unavitumia kutawala?
2: Rais aliyepo madarakani kuanzisha chama kipya cha siasa ambacho atakitumia katika uchaguzi ujao hiki nacho ni kituko kingine ambacho sijawai kiona kokote Duniani!!
Kama kuna mtu alishaona hii kitu kokote duniani aseme!
3: Lowassa anaalikwa kwenda kwenye uzinduzi huo kama nani hasa
Mimi ninavyojua waalikwa uwa ni Mwenyekiti wa chama ,Karibu wa chama, Au kiongozi mkuu wa chama ( Chifu)
3: Sasa huyu ndugu yetu Lowassa anaenda kama nani huko ni mjumbe tu wa Kamati kuu anaenda kukiwakilisha chama tena nje ya nchi?
4: Sasa kwa nini tusiamini Maneno kwamba Lowassa aliinunua chadema?
Kama huko kwenu ww ndo mtu unaejua zaidi kuliko wengine basi wasiojua kabisa watakua wanafanana na wafu....... Infact, tz iko hapa tulipo kwa sababu ya watu kama ww na ndio walio wengi na mbaya zaidi ndio wenye maamuzi, we have a long way to go.....Wewe ndiye kituko Uko na uhakika na unachokiongea hicho ni chama kinazinduliwa wewe unakomaa na coalition !!
Nakushauri ujishugulishe kufatilia mambo kwani ujui lolote zaidi ya kelele tu!!