Tetesi: Lowassa nchini Kenya tena

Tetesi: Lowassa nchini Kenya tena

Lowassa ni sheeeder umaarufu wake unazidi kupaa na kuwatesa wavimba macho
 
Msibani mtu anaenda tu sio kualikwa. Labda kwa nafasi yake kama Former PM inabidi atoe taarifa ili itifaki iweze kuzingatiwa !
 
Ni kwel Uko sahihi kwamba Lowassa aliinunua CHADEMA lkn we inakuhusu nn?? Si ufate mambo yako kwan CDM mbona wao hawalalamiki??
 
Kwani ulidhania lowassa kaenda kama Chadema au? mbona umekosa uelewa kidogo aisee.
 
Hicho cheo walichomtambulisha nacho ndicho alichokwenda nacho.

Kwanini usifikiri zaidi ya box?
Kuna kumuakilisha mwenyekiti,kuna kwenda kama rafiki wa waanzilishi wa chama, kuna kwenda kama mzoefu wa siasa za chini chini, kuna kwenda kama mwanasiasa wa upinzani n.k n.k
Ishu ya kununua chama ni akili ya maiti
 
View attachment 394510

Baada ya kuona mwaliko wa Edward Lowassa kwenye Uzinduzi wa chama kipya nchini Kenya cha Jubilee Party nimejiuliza maswali mengi sana bila kupata majipu!!

1: Hivi ni nchi gani Dunia ambayo ilishawai kufanya kitendo ambacho Kenya wanakifanya cha Kutengeneza chama ndani ya chama wakati hivyo vyama unavyovivunja ndivyo unavitumia kutawala?

2: Rais aliyepo madarakani kuanzisha chama kipya cha siasa ambacho atakitumia katika uchaguzi ujao hiki nacho ni kituko kingine ambacho sijawai kiona kokote Duniani!!
Kama kuna mtu alishaona hii kitu kokote duniani aseme!

3: Lowassa anaalikwa kwenda kwenye uzinduzi huo kama nani hasa
Mimi ninavyojua waalikwa uwa ni Mwenyekiti wa chama ,Karibu wa chama, Au kiongozi mkuu wa chama ( Chifu)

3: Sasa huyu ndugu yetu Lowassa anaenda kama nani huko ni mjumbe tu wa Kamati kuu anaenda kukiwakilisha chama tena nje ya nchi?

4: Sasa kwa nini tusiamini Maneno kwamba Lowassa aliinunua chadema?

Soma historia vizuri LIKUD party, cha Izraeli chama kinachoongozwa na Benjamin Natenyahu, kilianzishwa kwa mtindo huohuo.
 
hivi unatumia ubongo UPI kuwaza? Leo uko Cdm kesho uko Lumumba? unatapatapa kama MFA maji tulia sehemu moja khaaaa
 
View attachment 394510

Baada ya kuona mwaliko wa Edward Lowassa kwenye Uzinduzi wa chama kipya nchini Kenya cha Jubilee Party nimejiuliza maswali mengi sana bila kupata majipu!!

1: Hivi ni nchi gani Dunia ambayo ilishawai kufanya kitendo ambacho Kenya wanakifanya cha Kutengeneza chama ndani ya chama wakati hivyo vyama unavyovivunja ndivyo unavitumia kutawala?

2: Rais aliyepo madarakani kuanzisha chama kipya cha siasa ambacho atakitumia katika uchaguzi ujao hiki nacho ni kituko kingine ambacho sijawai kiona kokote Duniani!!
Kama kuna mtu alishaona hii kitu kokote duniani aseme!

3: Lowassa anaalikwa kwenda kwenye uzinduzi huo kama nani hasa
Mimi ninavyojua waalikwa uwa ni Mwenyekiti wa chama ,Karibu wa chama, Au kiongozi mkuu wa chama ( Chifu)

3: Sasa huyu ndugu yetu Lowassa anaenda kama nani huko ni mjumbe tu wa Kamati kuu anaenda kukiwakilisha chama tena nje ya nchi?

4: Sasa kwa nini tusiamini Maneno kwamba Lowassa aliinunua chadema?
Lowassa ndani ya CHADEMA ni sawa na picha hii 'kubwa kalia dogo'...wacha afanye atakalo ni mali yake!
upload_2016-9-6_10-19-2.jpg
 
1/ Wewe bichwa tupu kweli,magufuli ali alikuwa na odinga kama nani?
2/ Hivi wewe ujui lowassa ni nani kwenye nchi hii?
3/ ya kenya wewe unayatakia nini ?
4/ je unajua walio alikwa wengine ?
na malizia na kale ka wimbo kalio fungiwa
''ngombe ana ruka ruka ngombe,chura kafungiwa .....
 
Unahisi wakenya wote hawana akili na kwamba hawakuwahi kujiuliza maswali rahisi kama haya na kuyapatia majibu kabla ya kufanya hayo wanayotegemea kuyafanya.......??? Jielimishe juu ya jambo unalotaka kuwasilisha mbele ya umma kama hoja vinginevyo waweza kugeuka kituko, kwa taarifa yako ndogo sana, kinachotegemewa kufanywa tar 09 ni kuzindua coalition na si political party......
Wewe ndiye kituko Uko na uhakika na unachokiongea hicho ni chama kinazinduliwa wewe unakomaa na coalition !!
Nakushauri ujishugulishe kufatilia mambo kwani ujui lolote zaidi ya kelele tu!!
 
hivi unatumia ubongo UPI kuwaza? Leo uko Cdm kesho uko Lumumba? unatapatapa kama MFA maji tulia sehemu moja khaaaa
Chama changu ni Tanzania !!
Hivi ukiwa na uwezo wa kukosoa huku ndio ukose meno ya kukosoa kule?
Kweli watanzania tumedumazwa na siasa!
 
Back
Top Bottom