Elections 2015 Lowassa: Sina pesa, hizi nachangiwa na marafiki zangu

MELI NI YANGU ILA MENO YA TEMBO SI YANGU
by?
 
Kama tutakumbuka maneno ya Mwalimu Nyerere kuwa Ikulu ni mahala patakatifu mtu anaetaka kwenda Ikulu tena kwa kuhonga ni wa kumuogopa kama "UKOMA" nae LOWASA ni wa kumuogopa kama UKOMA. Pia huyo jamaa anajisumbua ana laana ya Mwalimu Nyerere Uraisi haupati labda sisi siyo Watanzania!
 
!
!
ukoma zamani bana siku hizi haupo

Mbona Mkapa nae kaiba sana tu.
 
Acheni kumsakama lowasa. Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Mwacheni mzee wetu ale maisha yake. Tumechoka sasa.
 
Hata mimi naunga mkono hoja huyu jamaa nashindwa kumwelewa ni wapi anatoa hzo pesa mfano: Mwanzo wa mwezi huu alitembelea kigamboni ambapo alitoa madawati 100 na kuwakabidhi akina mama Tsh mil.10.
Lkn kubwa zaidi kajenga shule ya msingi ya watoto wasiojiweza na wanaoishi ktk maisha hatarishi ambayo imegharimu Tsh million 364.
Duuh huyu jamaa haeleweki kabisa.
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.
 
Kwani huwajui friends of Lowassa, ambao miongoni mwao wanaongozwa na King maker RA ambaye yumo katika orodha ya Forbes ya the wealthiest persons in the World.

Wengineo ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa, mwingine ni yule mama mnunuaji mboga ya shilingi milioni 10 kwa siku na yule mzee wa TICT's ambaye kampuni yake inaweza hadi kuweza kumuingizia zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa siku.

Unataka list zaidi?

Nadhani hiyo list inaweza kukupa mwanga na kujua kumbe huyo jamaa kuweza kufungua pazia kwa kutangaza nia ya kuutaka Urais kwa kutumia zaidi ya bilioni 1 ni jambo ambalo ni jepesi mno kwake!
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

Na wanaowapa sita na makamba mbona huulizi,membe nae,??
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

Unawataka wa nn? Mbona hata USA wanachangiwa check hapo Dr. Ben anafikisha wachangia 150000th.
 
Attachments

  • 1433991609172.jpg
    39.3 KB · Views: 343
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

Ukisoma habari za Bermuda triangle utapata majibu yote
 
Weee USA wanatoa hela kuliko, donors wa mgombea uraisi huwa wanatoa hela za maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…