Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Kama ni kweli basi itakuwa Ukawa nao wanahamu ya kula pesa za bure za wanamtandao. Mlieni tu pesa maana hizo ni za wavuja jasho
 
Moderator Mbatia ashatoa toa tamko kwa niaba ya Ukawa.Cuf leo wametoa Tamko kuhusu uzushi na uvumi uliokuwa unaendelea,baada ya kikao cha jana.
Futeni huu uzushi hauna tija,La sivyo muwe wavumilivu kwa kila uzushi utakao bandikwa hapa.
Cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Hasira za wananchi kwa richmond, tegeta escrow lazima wataziamishia huko chaedema na ukawa, watakuwa wajinga sana kumpokea lowasa na hakika upinzani utakuwa umejimaliza wenyewe kama zito kabwe
 
Kwahiyo amefikia uamuzi kwasababu ana hasira? kweli ana hasira na akienda huko basi zitaisha ..hasira zinatoa ushauri kweli?
 
UKAWA watakuwa wamefanya kosa kubwa sana, Uadilifu tunaouimba kila siku utatoka wapi mbele ya mtu tuliyemwima FISAADI miaka yote hii? labda km kuna mengine yamejificha lkn naanza kukosa raha
 

Una kiherehere kama muuza gongo; si usubiri wenye Ukawa wenyewe watangaze; kwani wewe ndio umekuwa afisa habari wa UKAWA?! kupenda sifa kutakuponza Dude!! Mwanamme huna kifua cha kuhimili mambo kama Demu?! mdomo unakuwashawasha kuropoka tu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…