MWANAMKE MTANZANIA
Member
- Mar 4, 2014
- 38
- 9
Mi nasoma tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uliambiwa wao wanafuata ratiba ya CCM? Hivi hata hilo nalo la kuleta ubishani? Kwa heri.Kama hakuna mtifuano unawaza kutuambia kwanini mpaka sasa ukawa hawajatangaza mgombea urais kama hali ni shwari? Ilitakiwa ajulikane siku 3 nyuma
Sioni taabu ya nini kwa Slaa kukataa wakati Mkakati ni Kushika dola... alikuwa tayari kumchukua Sitta Enzi zile atashindwa nini kumchukua Lowasa mwenye mtaji Mkubwa wa watu wa ndani ya CCM ?