Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

wiki hii sisemi kitu. nasubiri yeyote atakae ingia ikulu Ndipo nimshauri. Saiz ukimshauri mtu ni sawa na kutwanga maji ktk kinu, wagombea wote hayupo msafi hata mmoja.
 
Kama hakuna mtifuano unawaza kutuambia kwanini mpaka sasa ukawa hawajatangaza mgombea urais kama hali ni shwari? Ilitakiwa ajulikane siku 3 nyuma
Kwani uliambiwa wao wanafuata ratiba ya CCM? Hivi hata hilo nalo la kuleta ubishani? Kwa heri.
 
Uvumi huu wa EL kuhamia CHADEMA, UKAWA au ACT umeshika kasi na sasa unaelekea kuaminika. Sina hakika kama wenye vyama hivi wako comfortable na wazo hili au vinginevyo. Nashauri secretariats za vyama hivi kwa pamoja au kipekee waite press conference watoe msimamo. Kama EL anawafaa kweli hebu semeni basi,come out real ili msiendelee kumtesa kisaikolojia mzee wa watu. Kwani kuna wanaoamini kuwa EL kayakubali matokeo ya CHAMA KUBWA na anajiaanda kutoa tamko kupitia Press conference ku-declare support yake kwa Pombe Magufuli na CCM, jambo ambalo mimi naamini ndio la busara zaidi. Urais unatoka kwa Mungu na wala sio CCM, UKAWA wala ACT. Hey! Viongozi upinzani semeni neno juu ya jambo hili na kama ni kweli mtampokea, mtusaidie kuelewa ni kwa namna gani uwepo wake kwenye vyama vyenu hakuta athiri "Brand" yenu ya Uadidilifu mnayoilinda kwa nguvu zote.
 
Nimekuwa kila mara nikieleza kuwa CHADEMA kimeanzishwa na matajiri wa Kichagga kwa malengo ambayo si ya kuwakomboa wananchi, bali kwa malengo ya kumiliki hazina ya Tanzania kwa faida zao. Kumekuwa na fununu kuwa Lowassa anataka kuhamia huko, ati kutokana na mtaji wa watu alionao. Na ndio maana wameshindwa kumtaja mgombea wa UKAWA, ati majadiliano bado yanaendelea.

Ni hawahawa CHADEMA waliokuwa wanamtukana na kumkashifu na pia kuwatumia watu kumtukana, kumchafua na kumzulia mengi. Hiki chama, voice kubwa iko kwa kabila fulani na wana vibaraka wao kutoka mikoa mingine ili kuonekana sivyo walivyo.

Hawa jamaa si wakombozi ila nao ni walafi, wanaitaka hazina ya nchi kwa udi na uvumba. Wako tayari hata kumchukua shetani ili wafikie malengo yao. Hivi toka lini hili kabila likawa rafiki na mtu kwenye pesa? Wako tayari kuuwa au kufanya lolote..

Niliwahi kutahadharisha kuwa Lipumba amekuwa pinned kati ya Wachagga wawili, achukue tahadhari kubwa, twendeni tu huko mbele mtaona.

Mungu ibariki nchi yangu na inusuru na hawa jamaa.
 
Toa u-ccm hapa!! CCM imekufa kabisa....mnadhani Mtaalam wa kukariri ataifufua ilhali hana uwezo huo...!!
 
Sioni taabu ya nini kwa Slaa kukataa wakati Mkakati ni Kushika dola... alikuwa tayari kumchukua Sitta Enzi zile atashindwa nini kumchukua Lowasa mwenye mtaji Mkubwa wa watu wa ndani ya CCM ?

Msimamo huu wa Dkt Slaa ndio unaompa heshimima kubwa. Udumu Dr.
 
Wapendwa wanaJF kama UKAWA walijipanga kupambana na CCM hata kama Lowasa angepita, waendelee hivyo hivyo. Kura za uraisi kwa kuingiza 'leftovers' ni hatari. Swali la kisheria atagombea chama gani. Je akikosa atakuwa nani katika hicho chama. Kumbukeni "hata siku moja uwingi wa inzi haumalizi kinyesi" UKAWA ina vichwa vingi tu wenye 'clean sheet' onyesheni.
 
Kama Nilivyokwisha Sema Huko Mwanzo Kuwa Magufuli Atakuwa Ndiyo Chaguo La CCM Kwa Vile Vigezo Nilivyowapeni Sasa Katika Hali Ya Kujiamini Kabisa Nawapeni Taarifa Hii Kuwa Mzee Mtei Amekubali Rasmi Kujitaoa Muhanga Kwa Kumtoa Katika Kinyang'anyiro Dr. Slaa Kuwa Mgombea Wa Urais Kwa Tiketi Ya UKAWA Na Sasa Ni Rasmi Kuwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa Muda Wowote ANAHAMIA RASMI Kutoka CCM Na Kuhamia CHADEMA Na Hapo Hapo Kupewa Nafasi Ya Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Katika Mbio Za Kuelekea IKULU Mwezi October Tarehe 25.

Muda Wowote Kutoka Sasa Walinzi Wake Wakiongozwa Na Bwana Aloyce Tendewa Wanarudi Idarani Kuendelea Na Majukumu Yao Mengine Na Kinachosubiriwa Sasa Upande Wa UKAWA Kumtangaza Ni Kuwa Wanaweka Mambo Sawa Katika Nyanja Zote Na Katika Siku 3 Hizi Lowassa ATATANGAZWA Rasmi Kuwa Ametua CHADEMA Japo Mke Wake Mama Regina Amejitahidi Mno Kumsihi Mumewe Asihame CCM Lakini Lowassa Bado Ana Machungu, Hasira Huku Akishawishiwa Vibaya Na Washauri Wake Wakuu Haswa Haswa Mzee Apson Mwang'onda.

Mliokuwa Mkinidhihaki Kuhusu Magufuli Na Akawa Yeye Sasa Wote Mmepotea Hebu Nidhihikani Na Hili Pia Na Nina Uhakika 100% Wa Hii Breaking News Yangu Kwenu. Lowassa Kuhamia CHADEMA Rasmi Na Kuwa Mpeperusha Bendera Kwa Tiketi Ya UKAWA. Take It From Me! Fumbo Alilolifumba Jana Mbunge James Mbatia Mlilielewa?

Lowassa UMESHAJIPOTEZA Rasmi Kisiasa.
 
Mhh maneno yangekua yanaua hakika lowasa tungekua tumemsahau. Jamani mwachen mtu wa watu apumzike sasa aaah!
 
Back
Top Bottom