Elections 2015 Lowassa: Viwanda bila elimu ni sawa na kazi bure

Elections 2015 Lowassa: Viwanda bila elimu ni sawa na kazi bure

Ili ccm ibakie madarakani ni lazima watanganyika wafanywe mambumbu,wananchi wakielimika ccm watamtawala nani?nchi imejaa maprofessor kibao kumbe kichwani hamna kitu.
 
Kwani 'kipaumbere' chetu ni 'erimu' au viwanda?
Hakuna inchi yoyote duniani iliyofanikiwa ikiwa na wanainchi wajinga wasio na Elimu
Elimu ndio kipaumbele cha kwanza katika maisha ya mwanadamu anauetaka kupga hatua
 
Ili ccm ibakie madarakani ni lazima watanganyika wafanywe mambumbu,wananchi wakielimika ccm watamtawala nani?nchi imejaa maprofessor kibao kumbe kichwani hamna kitu.
Na hili ndio tatizo la Africa elimu inakuwa ya hovyo ili watawala wazidi kutawala kwa ujinga waliowajaza wanainchi wao
 
Back
Top Bottom