Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Dec 3, 2018 #121 Kwani 'kipaumbere' chetu ni 'erimu' au viwanda?
Bobwe2 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,463 Reaction score 2,342 Dec 3, 2018 #122 Ili ccm ibakie madarakani ni lazima watanganyika wafanywe mambumbu,wananchi wakielimika ccm watamtawala nani?nchi imejaa maprofessor kibao kumbe kichwani hamna kitu.
Ili ccm ibakie madarakani ni lazima watanganyika wafanywe mambumbu,wananchi wakielimika ccm watamtawala nani?nchi imejaa maprofessor kibao kumbe kichwani hamna kitu.
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,764 Reaction score 7,758 Dec 3, 2018 #123 chaliifrancisco said: Kwani 'kipaumbere' chetu ni 'erimu' au viwanda? Click to expand... Hakuna inchi yoyote duniani iliyofanikiwa ikiwa na wanainchi wajinga wasio na Elimu Elimu ndio kipaumbele cha kwanza katika maisha ya mwanadamu anauetaka kupga hatua
chaliifrancisco said: Kwani 'kipaumbere' chetu ni 'erimu' au viwanda? Click to expand... Hakuna inchi yoyote duniani iliyofanikiwa ikiwa na wanainchi wajinga wasio na Elimu Elimu ndio kipaumbele cha kwanza katika maisha ya mwanadamu anauetaka kupga hatua
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,764 Reaction score 7,758 Dec 3, 2018 #124 Bobwe2 said: Ili ccm ibakie madarakani ni lazima watanganyika wafanywe mambumbu,wananchi wakielimika ccm watamtawala nani?nchi imejaa maprofessor kibao kumbe kichwani hamna kitu. Click to expand... Na hili ndio tatizo la Africa elimu inakuwa ya hovyo ili watawala wazidi kutawala kwa ujinga waliowajaza wanainchi wao
Bobwe2 said: Ili ccm ibakie madarakani ni lazima watanganyika wafanywe mambumbu,wananchi wakielimika ccm watamtawala nani?nchi imejaa maprofessor kibao kumbe kichwani hamna kitu. Click to expand... Na hili ndio tatizo la Africa elimu inakuwa ya hovyo ili watawala wazidi kutawala kwa ujinga waliowajaza wanainchi wao