Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EL alisema wakimwaga mboga yeye atamwaga ugali. Aliahidi wakimuvua gamba yeye atawaonyesha watanzania mahali alipo BALALI. Hii ndio mimi naisubiri kwa hamu.
Wakati makundi mawili hasimu yale yanayomuunga na kutomuunga Lowassa yakitunishiana misuli kuhusu kuvuliwa gamba kwa kutumia kashfa ya richmond, lowassa amenukuliwa na watu wake wa karibu akisema huu utakuwa wakati mwafaka kwake kusema kila ukweli anaoujua kuhusu richmond.
Chanzo: Tanzania Daima
Wakati makundi mawili hasimu yale yanayomuunga na kutomuunga Lowassa yakitunishiana misuli kuhusu kuvuliwa gamba kwa kutumia kashfa ya richmond, lowassa amenukuliwa na watu wake wa karibu akisema huu utakuwa wakati mwafaka kwake kusema kila ukweli anaoujua kuhusu richmond.
Chanzo: Tanzania Daima
Kama hii ni kweli basi huyu jamaa anazidi kuonyesha jinsi asivyostahili kuwa Rais wa nchi yetu 2015. Yaani kuna madudu yalifanyika kuhusiana na mkataba wa Richmond/Dowans naye anayajua lakini kaamua kutuficha Watanzania miaka yote hii.
Sasa anaona maslahi yake yanataka kuharibika ndio anataka kutueleza nini kilichojiri!!!! Mwalimu aliona mbali sana pale aliposema huyu jamaa hastahili kabisa kuwa Rais wa nchi yetu.
Kama habari hii ni kweli basi tunaelewa yafuatayo;
Lowasa hafai kabisa kuwa kiongozi kwa vile sio mkweli na hapiganii haki ya raia. Pia rafiki yake ambaye ndiye Raisi sio mzalendo maana pamoja na katiba kumlinda maisha yake yote baada ya kipindi chake cha uraisi ni mtu mwenye tamaa na mwizi wa rasilimali alizoapa kuzilinda.[/QUOT
Anafaa kuwa kiongozi,kwani moja ya sifa kuu ya kiongozi bora ni kuwa mvumilivu na kukubali kuumia kwa maslahi ya Taifa
kwani kama Mh Lowasa angeamuwa kuwa ngangari na kuweka wazi mpaka sasa unafikilia nchi ingekuwa ktk khali ipi
Nimengi yanafanyika ktk hii dunia lakini viongozi wamekuwa ni watu wa kutunza siri na kuwa wavumulivu ili mradi tu amani inatawala kama kila kiongozi ktk hii Dunia angekuwa ni wa kubwatuka kwa kila jambo sijui kama kungekuwa na usalama
so kwahili Mh Lowasa alistahili kulimeza kwa maslahi ya Amani na utulivu wa nchi hii
ki ukweli Mh anafaa kuwa kiongozi,bado hakuna waziri mkuu atakae weza kuwa na maamuzi ya ujasili kama yeye ukiachilia mbali Marehemu Sokoine
Wakati makundi mawili hasimu yale yanayomuunga na kutomuunga Lowassa yakitunishiana misuli kuhusu kuvuliwa gamba kwa kutumia kashfa ya richmond, lowassa amenukuliwa na watu wake wa karibu akisema huu utakuwa wakati mwafaka kwake kusema kila ukweli anaoujua kuhusu richmond.
Chanzo: Tanzania Daima
Kama kweli ndani ya NEC wote wanajiona kuwa ni wasafi sidhani kama ingewachukua muda mrefu kiasi hiki kumsulubu Lowasa... hii ishu ya Richmond kuna jambo linafichwa na Lowasa amefanywa mbuzi wa kafara, tatizo kila mtu anaogopa kumuanza...
Mwakyembe mwenyewe alisema kuna mambo amefunika!! EL tuambie baba pasu ya ****** ilikuwa bei gani!!ukweli gani mpya tena zaidi ya aliousema Dr Mwaktembe " hili halita saidia kitu "
Ndicho nilichowambia Mkandara hicho,EL kashikilia kwenye kamali...Kutachimbika kama ni kweli,trust me!
Mwakyembe around or not,someone still holds the wild cards.
Kumbuka kulikuwepo na ripoti mbili na Mwakyembe aliitoa ile ya kumchafua EL...
Hata hivyo ni ukweli mtupu kwamba kama aliyaficha hayo akiwa waziri mkuu na anataka kuyasema ili aupate urais,basibinafsi nina conclude kwamba mtu huyu ni hatari sana.Lowasa bana, anazeeka vibaya sana; anatuambia kuwa anasiri kubwa ya ukweli wa Richmon, na anajua kuwa tunachokifaham sisi Watanzania wa kawaida kuhusu Richmond ni uwongo wa maksudi!
Kwa kitendo chake cha kuwaficha watanganyika ajue ni kushiriki uhalifu! Tukilegeza kamba huyu jamaa atakuja kuwa raisi wa Tanganyika Miaka michache ijayo, na nina hakika ataendeleza siasa na utendaji wa kulindana kimakundi kama anavyofanya Mkweere! Simwamini hata kidogo huyu mzee.