Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Tena mm wa vitchen party ashukuru wambea wa insta maana kuna siku alipost kuhusu kuoneana wivu kazini, basi watu wa insta wakaanza kumtag huyo kimbau mbau na kumchamba yn macoment km yote. Baada ya ile post ndo huyo mwrnye kitchen party akaajiriwa kwenye ile redio. Mana watu walichambaaaaa htr
 
Si kwakutukomaza ubongo jamani vocabulary si mchezo mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Ile post aliweka ikimhusu mlengwa
Kimbau mbau ndo watu wakaamua
Kumtagi mazima,

kimbaombao
Alikua na nguvu maana papuch
Ilikua inampa nguvu ya kufanya anavotaka

Ila mpaka leo cjawah jua nn walifanyiana
Na Yule kisu kikali mpaka wakatemana
Licha ya damu kuungana
 
Wee Pale ni 7m shosti yaani yule ex Mrs Raj hana lolote unaambiwa mbwembwee tuuu!!!!na anadanga km kawaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajifanyaga ana hela sana sana

Ila werevaa analewaa sana jamani

Imagine zile wine ni gereshaa ndani ya insta fam, ila uhalisia anakunywa misafari lager na mtu ananyonyesha daah[emoji848]
 
Eeh hata sijui ila huyo kisu kikali si alichumbia mwanamke mwingine, tena walitrend insta. Lkn hd ss hv hajamuoa huyo alomchumbia na sijui km wako wote au waliachana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…