witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Kwahiyo hamo-borooo tayari anamiliki bacteria mcharazo?[emoji849][emoji848]husipite kwa kajala na huyo uwoya utaenda na maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hamo-borooo tayari anamiliki bacteria mcharazo?[emoji849][emoji848]husipite kwa kajala na huyo uwoya utaenda na maji
Madogo na wanapata ucngz kabisa
Ishakua kawaida Tu maana watu wanabugia
Kwan wazee wa Viagra Kwa kuhongaEeh manz kuna mahali atakuwa analokota pesa. Sio swala la kizembe
Mbongo muvi aligombea mkoa ule anapotoka yule bwana kuwad maarufu wa bongo muviHuu uzi code mwanzo mwisho sasa nifungulie uyu viti maalum
Ni yupo kichwan kina uma mbea nwenzangu wakat naendelea ku uncode hizi zingine
DuuuhYule black beauty wa bongo movie ana jina la mitishamba ndu...mmewe amemla mama wa3 mwanawe alopata division 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mm wa vitchen party ashukuru wambea wa insta maana kuna siku alipost kuhusu kuoneana wivu kazini, basi watu wa insta wakaanza kumtag huyo kimbau mbau na kumchamba yn macoment km yote. Baada ya ile post ndo huyo mwrnye kitchen party akaajiriwa kwenye ile redio. Mana watu walichambaaaaa htrYule alionesha wazwaz alvomkavu hata kwenye kipindi yani akafanya mpaka
Mwenzie mama wa vichenparty
Akasmamishwa kaz alaf mshahara anapokea
Lakin kazin huend.
Akampgia shogaake pande akakaba
Nafac mpaka Sana
Yani had bek 3 wake naskia alikua
Anawapeleka Kama watumwa
Huyo Lisa mbona huyo gabachori anamficha sana[emoji848][emoji848][emoji849]Yule alishaolewa two times rafiki maana yule second boni wake kama gabachori hivi alibadili mpk dini akaolewa mosque wedding after failure from chachi marriage!!upoooo?!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂Mtumeeeeee[emoji134][emoji134][emoji134]
Ile garage nkajua n yake
Kumbe kawekewa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Si kwakutukomaza ubongo jamani vocabulary si mchezo mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Code simpooo ,nenda Zanzibar taja visiwa,Ingiza jina la mcheza movie za kichina yule chalechale then chukua jina la mwanzo na la kisiwa cha kule makunduchi,mtafute sista ake huyo mshikaji Google! Usipoelewa hapo mi nakuvua vyeo vyote vya kukaa ilala hii ya mtaa wa Arusha na kwa yule muuza chips maarufu wa enzi hizo jina limentoka kidogoo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Ile post aliweka ikimhusu mlengwaTena mm wa vitchen party ashukuru wambea wa insta maana kuna siku alipost kuhusu kuoneana wivu kazini, basi watu wa insta wakaanza kumtag huyo kimbau mbau na kumchamba yn macoment km yote. Baada ya ile post ndo huyo mwrnye kitchen party akaajiriwa kwenye ile redio. Mana watu walichambaaaaa htr
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yaaani[emoji23][emoji23]
Anajifanyaga ana hela sana sanaWee Pale ni 7m shosti yaani yule ex Mrs Raj hana lolote unaambiwa mbwembwee tuuu!!!!na anadanga km kawaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Controla yupi? Huyu mafia wa humu?Nyieeee asubuhi yote mnapeana ubuyu twendeni kwenye nyuzi za Tanzia kwanza Controla kafiwa na mzazi twendeni mukampe pole[emoji51][emoji51][emoji51]
Kana gundu sanaa[emoji848]Ss hv mpare angekua mrs fulani, mana hd kwny msiba alipewa kipaumbele sn km mke vile, dah sema ndo hivo kifo kimeharibu mambo.
Nyumbu anachukulia tembe zake wapi?K najua mda sanaa!alikua anachukua mwananyamala akaacha,sasa Siku moja alisahau vidonge vyake ndo siri ilipofichuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyoKuna mwenzetu naye wa Jf katutoka leo ni Tanzia tu jukwaa la Tanzia mpendwa[emoji51]
Eeh hata sijui ila huyo kisu kikali si alichumbia mwanamke mwingine, tena walitrend insta. Lkn hd ss hv hajamuoa huyo alomchumbia na sijui km wako wote au waliachanaNa Ile post aliweka ikimhusu mlengwa
Kimbau mbau ndo watu wakaamua
Kumtagi mazima,
kimbaombao
Alikua na nguvu maana papuch
Ilikua inampa nguvu ya kufanya anavotaka
Ila mpaka leo cjawah jua nn walifanyiana
Na Yule kisu kikali mpaka wakatemana
Licha ya damu kuungana
Ndio mkatoe rambirambi 😬😬😬Controla yupi? Huyu mafia wa humu?
Jina limenitoka ila uzi wake upoNani huyo