Huyo huyoMiss world?
Duuh jmn, mbona ametembea na tarafa nzima itakuwaje?Huyo huyo
Jabali kaondoka na Lana nyingiHapo sasa, yani jamaa yuko kwa akina Jet Li huko na sidhani kama hata anarudigi ubongo wa fureva huku hata kucheki madogo huenda anatumia zoom tu😂😂😂 ama skype maana whatsapp hairuhusiwi kule😅
Kimepauka balaa...ngozi haina appetite kabisaNiliwai kuwa na michongo flan na marehem..yule aliekua na huyo kimbau mbau enz hzo. Kuna siku sasa nilimwona live huyo bibie...daaaaah.aisee...yan ki virus chake inaonekana si cha nchi hii....ila nashangaa kweny instagram anaoneka mnana sana sasa sielew ndo filters ama nn...halaf kalikua na mimba sasa..ni balaaa
Subiria Bomu tuDuuh jmn, mbona ametembea na tarafa nzima itakuwaje?
Mkuu huo mtungo mmoja t huyo kaushuhudia 2010,,Kumbe na mtungo alishapigwa😂 sasa nini kinamshawishi mtu aoe hio takataka
Huyo Mr.Rommy nilisikia amewaka toka kipindi kile anaoa wanazengo walimfungulia toolbox kuwa tayari yupo kwenye Moto wa bwawa la mtera!Ukiona hivo ujue nae ni mbovu wa afya...haiwezekan we mzima ukajilipua never ever[emoji848]
Rommy mrembo sana sijui kama wahuni wa mjini wamemwacha salamaHuyo Mr.Rommy nilisikia amewaka toka kipindi kile anaoa wanazengo walimfungulia toolbox kuwa tayari yupo kwenye Moto wa bwawa la mtera!
Ni mbongo movie wa Long time flani hivi ni Muslim aligombea huko kwenye mkoa wa Chief mkwawa
Duuuh mji mzito huuUnafkiri kapewa usemaj wa simba kijinga jinga..kuna connection ya hatar hapo...ni moja ya wanafamilia wa mo.ohooo
Instagram hakunaga mbayaNiliwai kuwa na michongo flan na marehem..yule aliekua na huyo kimbau mbau enz hzo. Kuna siku sasa nilimwona live huyo bibie...daaaaah.aisee...yan ki virus chake inaonekana si cha nchi hii....ila nashangaa kweny instagram anaoneka mnana sana sasa sielew ndo filters ama nn...halaf kalikua na mimba sasa..ni balaaa
Anamfichaficha Kwa muda Tu duniaAseee
Ila huyo mtoto anamficha mnoo
Mjin connection Tu na hapo lazma kunaUnafkiri kapewa usemaj wa simba kijinga jinga..kuna connection ya hatar hapo...ni moja ya wanafamilia wa mo.ohoooo
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Exactly mkuu[emoji848]
HahahaDogo kweli mbugila mbugila[emoji28]! Inaonekana kale ka songi ka “Kanyaga Twende” hakajawahi kupenya kwenye ngoma za masikio yake...Ilitakiwa achape windows 11 aanze kula update za town. Chance za kuokoa familia watu wanazichezea kizembe wakati vifungashio vya MSD vinagawiwa bure!
Halima yahaya ndo huyoBasi nipitishie ilo code kwa njia yetu ya mr inbox
Naona inanichelewesha io code
Kumbe ndo nimeelewaAseee
Ila huyo mtoto anamficha mnoo
Gabacholi anaupiga mwingi sana, kumbe kashaacha chata hapo, ila mjini Bila connection hupati lolote aisee.Unafkiri kapewa usemaj wa simba kijinga jinga..kuna connection ya hatar hapo...ni moja ya wanafamilia wa mo.ohoooo
Wao hawajali wala nini wanataka uspoon mjini tena!ndo maana wanaliwa viboga kama yule big kaka winaz ujue analiwa yuleMadogo na wanapata ucngz kabisa
Mm hata dushe haliwez kuamka
Aisee maana mda wote waswas[emoji1][emoji1]
Huna aman