Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hapo sasa, yani jamaa yuko kwa akina Jet Li huko na sidhani kama hata anarudigi ubongo wa fureva huku hata kucheki madogo huenda anatumia zoom tu😂😂😂 ama skype maana whatsapp hairuhusiwi kule😅
Jabali kaondoka na Lana nyingi
 
Niliwai kuwa na michongo flan na marehem..yule aliekua na huyo kimbau mbau enz hzo. Kuna siku sasa nilimwona live huyo bibie...daaaaah.aisee...yan ki virus chake inaonekana si cha nchi hii....ila nashangaa kweny instagram anaoneka mnana sana sasa sielew ndo filters ama nn...halaf kalikua na mimba sasa..ni balaaa
Kimepauka balaa...ngozi haina appetite kabisa
 
Niliwai kuwa na michongo flan na marehem..yule aliekua na huyo kimbau mbau enz hzo. Kuna siku sasa nilimwona live huyo bibie...daaaaah.aisee...yan ki virus chake inaonekana si cha nchi hii....ila nashangaa kweny instagram anaoneka mnana sana sasa sielew ndo filters ama nn...halaf kalikua na mimba sasa..ni balaaa
Instagram hakunaga mbaya
 
Dogo kweli mbugila mbugila[emoji28]! Inaonekana kale ka songi ka “Kanyaga Twende” hakajawahi kupenya kwenye ngoma za masikio yake...Ilitakiwa achape windows 11 aanze kula update za town. Chance za kuokoa familia watu wanazichezea kizembe wakati vifungashio vya MSD vinagawiwa bure!
Hahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom