Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Tena mm wa vitchen party ashukuru wambea wa insta maana kuna siku alipost kuhusu kuoneana wivu kazini, basi watu wa insta wakaanza kumtag huyo kimbau mbau na kumchamba yn macoment km yote. Baada ya ile post ndo huyo mwrnye kitchen party akaajiriwa kwenye ile redio. Mana watu walichambaaaaa htr
Nakumbukaa kipapi cha boss!!!hahahajaaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kufuatilia comment za uzi huu,, kuhusu kinachoendelea kwa Mr vikaptula na uwoya huko Dubai.
Ilibidi niingie chimbo kujuwa who is Mr vikaptula?
And why?

Je? Yeye ni sponsor au ni wali Nazi?

Majibu ni kwamba Mr vikaptula ni ubwabwa Nazi.

Code nimepewa na mtu wangu mwaminifu kabisa.

Sponsor kawabeba wote uwoya na mke mwenzie..
Huyo ni mke wa mtu kabisa!!..
 
Huyo vikaptula alivokaatu n
Urojo Kama lokole
 
Jokate yeye ashukuru tuu uteuzi ulimtoa huko, maana nae alikua ameelekea huko baada ya biashara yake kuelekea kuanguka
Nimeamini kweli DUNIANI maisha ya mtu ni siri huwezi jua kila kitu mtu kumuhusu

JOKATE wakati anateuliwa alikuwa tayri ameagiza CONTENA kama sio moja basi mbili za School bag na vifaa vya shule peni pensel nk
vilikuwa na logo yake ya kidoti
sasa alipoteuliwa na akawa na ile moto ya TOKOMEZA ZIRO kuhusiana na mambo ya shuleshule

kutokana na hiyo ishu nadhani watu zke walimshauri aachabe na hizo ishu ili isionekane anapigia debe bidhaa zake
so akaanua kuuza kwa promosheni school bag kwa bei ya kurudisha msingi maana alikuwa anauza nusu bei kulingana na ubora wa begi
Nina kampuni naijua ndio ilipewa tenda ya kuuza mzigo huo
sasa kibongo kuwa na msingi wa school bag na bidhaa za shule contena km mbili si haba
hvyo kusema km si kuteuliwa angekuwa kafulia sidhani
naweza sema mpk ss hivi anafanya biashara ila kimyakimya mana ukishakuwa serikalini inabidi umonitor bussnes zako kimyakimya sio km wasanii kupenda show off kuonekana
 
Baada ya kufuatilia comment za uzi huu,, kuhusu kinachoendelea kwa Mr vikaptula na uwoya huko Dubai.
Ilibidi niingie chimbo kujuwa who is Mr vikaptula?
And why?

Je? Yeye ni sponsor au ni wali Nazi?

Majibu ni kwamba Mr vikaptula ni ubwabwa Nazi.

Code nimepewa na mtu wangu mwaminifu kabisa.

Sponsor kawabeba wote uwoya na mke mwenzie..
Huyo ni mke wa mtu kabisa!!..
Duh hata mimi nilijua tu huyo mke mwenziwe
 
Hyo pisi nishaikuta sana regency hotel mikocheni kwenye kaunta ya mapokezi pale..saaaana...kina tunda..gigy mane ndo hotel yao hyo ..wanajiuza..nishawakuta sanaaa..huyo wanaemuita tueny sjui nan...ndo kijiwe chao pale
Hako ka tuerny kanaonekana katam sema mzunguko was hapa mjini ni balàa utajikuta kwenye nguzo za rea
 
Wema baada ya kuanza kupotea akaenda kukata utumbo Matokeo yake daimond kamwacha nyota kufifia.

Uwoya lijua hizo lips zake ni wanja kumbe kaongeza duh. Uwoya asije fanya sura kuwa ka michael jackson akishindana na wakati
halafu km nilihisi kuwa amefanya plastic surgery halafu kimtindo imemkataa
km ukitaka kuthibitisha angalia picha zke kipindi cha anawika km OPRAH
UWOYA alikuwa UWOYA kweli
yaan sasa hivi km ukimzoom unaweza kumuona km kibibi au akipigwa picha bila makeup au edit
kinachomsaidia umbo na rangi halisi iliyokolezwa vema na vipodozi

wema yeye pamoja na yote ila still kale kasura kake kazuri bado kana mbeba ila shida mpira pesa
Mwanamke km huna ela wewe mbaya tu
wewe fikilia lile shoga la NIGERIA linaitwa nani sijui ni janaume ila lilivyo jipala km jike na lizuri hasa kushinda hata wanawake halisi
 
halafu km nilihisi kuwa amefanya plastic surgery halafu kimtindo imemkataa
km ukitaka kuthibitisha angakia picha zje kipindi cha anawika km OPRAH
UWOYA alikuwa UWOYA kweli
yaan sasa hivi km ukimzoom unaweza kumuona km kibibi au akipigwa picha bila makeup au edit
kinachomsaidia umbo na rangi halisi iliyokolezwa vema na vipodozi

wema yeye pamoja na yote ila still kale kasura kake kazuri bado kana mbeba ila shida mpira pesa
Mwanamke km huna ela wewe mbaya tu
wewe fikilia lile shoga la NIGERIA linaitwa nani sijui ni janaume ila lilivyo jipala km jike na lizuri kushinda hata wanawake halisi
Huyo uwoya uzuri ulishaisha nadhani umri nao umeenda kipindi cha filamu ya Oprah alikuwa [emoji91][emoji91][emoji91]sana natural na mvuto hii mikitu ya sasa wanayoongeza imewapoteza mvuto sana kuanzia hayo mashavu na hizo lips zao.
Wema ndo anatia huruma huyo na timu yake iliyokuwa ina mvimbisha kichwa haipogi tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo pa hela na bob risky umenichekesha na huo ndo ukweli wenyewe. hakunaga mubaya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom