reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Nakumbukaa kipapi cha boss!!!hahahajaajTena mm wa vitchen party ashukuru wambea wa insta maana kuna siku alipost kuhusu kuoneana wivu kazini, basi watu wa insta wakaanza kumtag huyo kimbau mbau na kumchamba yn macoment km yote. Baada ya ile post ndo huyo mwrnye kitchen party akaajiriwa kwenye ile redio. Mana watu walichambaaaaa htr
Sent using Jamii Forums mobile app