Nakumbukaa kipapi cha boss!!!hahahajaajTena mm wa vitchen party ashukuru wambea wa insta maana kuna siku alipost kuhusu kuoneana wivu kazini, basi watu wa insta wakaanza kumtag huyo kimbau mbau na kumchamba yn macoment km yote. Baada ya ile post ndo huyo mwrnye kitchen party akaajiriwa kwenye ile redio. Mana watu walichambaaaaa htr
Mda mwingi yuko kwa mdingi wake analelewa kimaadili sana mdingi hataki spotlight na anasoma Islamic school...Huyo Lisa mbona huyo gabachori anamficha sana[emoji848][emoji848][emoji849]
😂😂
Aiseeeeee huyo dogo Ana mfichaficha sanaUnafkiri kapewa usemaj wa simba kijinga jinga..kuna connection ya hatar hapo...ni moja ya wanafamilia wa mo.ohoooo
Yule na wenzie wengi Tu wanashikishwaWao hawajali wala nini wanataka uspoon mjini tena!ndo maana wanaliwa viboga kama yule big kaka winaz ujue analiwa yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuwa kilaza kama si mfuatiliaji wa udaku au umbeya ni ngumu kuwajua hao watuHahahahah uzi unahitaji akili komavu huu na uwe mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea katika jamii!
Ukiwa kilaza utamaliza spana kuomba omba ufungulie code!
Mr kimobitelCariiee....niazime spanna ndogo nifingulie code ya uyu mr. Inbobo code haisomi
Huu uzi ni conclusion [emoji23][emoji23][emoji23]Ama kweli mjini mambo mengi sana nipo Downtown kitambo katika Jiji la kibiashara lakini sijui memba wenzangu wanazungumzia nini hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Huyo vikaptula alivokaatu nBaada ya kufuatilia comment za uzi huu,, kuhusu kinachoendelea kwa Mr vikaptula na uwoya huko Dubai.
Ilibidi niingie chimbo kujuwa who is Mr vikaptula?
And why?
Je? Yeye ni sponsor au ni wali Nazi?
Majibu ni kwamba Mr vikaptula ni ubwabwa Nazi.
Code nimepewa na mtu wangu mwaminifu kabisa.
Sponsor kawabeba wote uwoya na mke mwenzie..
Huyo ni mke wa mtu kabisa!!..
Nimeamini kweli DUNIANI maisha ya mtu ni siri huwezi jua kila kitu mtu kumuhusuJokate yeye ashukuru tuu uteuzi ulimtoa huko, maana nae alikua ameelekea huko baada ya biashara yake kuelekea kuanguka
Duh hata mimi nilijua tu huyo mke mwenziweBaada ya kufuatilia comment za uzi huu,, kuhusu kinachoendelea kwa Mr vikaptula na uwoya huko Dubai.
Ilibidi niingie chimbo kujuwa who is Mr vikaptula?
And why?
Je? Yeye ni sponsor au ni wali Nazi?
Majibu ni kwamba Mr vikaptula ni ubwabwa Nazi.
Code nimepewa na mtu wangu mwaminifu kabisa.
Sponsor kawabeba wote uwoya na mke mwenzie..
Huyo ni mke wa mtu kabisa!!..
Mbona huyo mnamtaja kwa jina? Wengine mnatoa misamiati tu au ndiyo wazito?Na yale madonda alitokaga...ila juna watu wamejilaani jaman..whozu anaenda had uvinza *****..na mtoto kamzalisha
Hako ka tuerny kanaonekana katam sema mzunguko was hapa mjini ni balàa utajikuta kwenye nguzo za reaHyo pisi nishaikuta sana regency hotel mikocheni kwenye kaunta ya mapokezi pale..saaaana...kina tunda..gigy mane ndo hotel yao hyo ..wanajiuza..nishawakuta sanaaa..huyo wanaemuita tueny sjui nan...ndo kijiwe chao pale
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hako ka tuerny kanaonekana katam sema mzunguko was hapa mjini ni balàa utajikuta kwenye nguzo za rea
Watu hapa mjini wanapigana vita hujawai ona utadhani hakuna ngoma kabisa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
halafu km nilihisi kuwa amefanya plastic surgery halafu kimtindo imemkataaWema baada ya kuanza kupotea akaenda kukata utumbo Matokeo yake daimond kamwacha nyota kufifia.
Uwoya lijua hizo lips zake ni wanja kumbe kaongeza duh. Uwoya asije fanya sura kuwa ka michael jackson akishindana na wakati
Yan wako radh kurisk maisha aiseee Acha tuWatu hapa mjini wanapigana vita hujawai ona utadhani hakuna ngoma kabisa
Huyo uwoya uzuri ulishaisha nadhani umri nao umeenda kipindi cha filamu ya Oprah alikuwa [emoji91][emoji91][emoji91]sana natural na mvuto hii mikitu ya sasa wanayoongeza imewapoteza mvuto sana kuanzia hayo mashavu na hizo lips zao.halafu km nilihisi kuwa amefanya plastic surgery halafu kimtindo imemkataa
km ukitaka kuthibitisha angakia picha zje kipindi cha anawika km OPRAH
UWOYA alikuwa UWOYA kweli
yaan sasa hivi km ukimzoom unaweza kumuona km kibibi au akipigwa picha bila makeup au edit
kinachomsaidia umbo na rangi halisi iliyokolezwa vema na vipodozi
wema yeye pamoja na yote ila still kale kasura kake kazuri bado kana mbeba ila shida mpira pesa
Mwanamke km huna ela wewe mbaya tu
wewe fikilia lile shoga la NIGERIA linaitwa nani sijui ni janaume ila lilivyo jipala km jike na lizuri kushinda hata wanawake halisi
Lazima uwe mdaku si mbugilaHizi codes zinazopigwa humu Kama Ni Mbugila huwezi kuelewa!