Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Huyo mbona twajua ni chaklaaaa!!kitambooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo vikaptula alivokaatu n
Urojo Kama lokole
Na huyo aliyetoa code alishawahi kunambiya kuhusu Umeme wa kidato wa uwoya.
Kipindi kile yupo na Dogo zoba..
Nikijumlisha doti za comment kwenye uzi huu ,,ebwana ni kwl kabisa..

Nilishare Uzi huu kwa shemeji yangu mmoja mwenye code nyingi sana,

Bila kumuuliza ,,,

Akanipa jibu moja tu.
Huyo ni wali Nazi na ukitaka anayempakuwa pia nakujulisha..nipe muda.
 
Anaye mpakua ni nani
 

Kumbe hamisa ana mjengo. Showoff za irene uwoya hata hazirushi roho sana sana anafanya watu wamuonee huruma tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…