Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Watajuana wao na laana zao.
Ila najua hawawezi kuwa sawa kwenye nafsi zao hata Kama unapata hela. Dhamiri itakuwa inawashtaki aisee
We kwani dunia yetu baasssi....!!!hawajaali wenzakooo hvyoooo!!!hahaaaahaaa!

Kaka umeongea kwa uchungu yaani daahh!mpk nimekuonea huruma!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu mbona huyo kami... Yupo karibu na akina ex wa veepesa na bwana ayo?

Au ndo wale wale maana naskia x veepesa naye anapelekea moto wanaume
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom