Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Acha kabisa
Alaf wanajificha kwenye din

Yan ilisemekana na
matibabu yote ya koo Yale wakat anaumwa
Yeye ndo alismamia
No free lunch rafiki mjini hapaa!!!hahahahah!!

Hii dunia maisha bila unafiki hayasogei nakuambia!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee....

Ila wanaume na sisi tumezidi ivi kweli bars zinasoma kabisa kwa kidume mwenzio!!!? Na mwingine anataman asukumiwe ndani alicho nacho [emoji1787] mmh vizaz vingine laana tupu
Mi naona kama ushirikina vile maana kwa akili za kawaida unaanzaje kudindisha kwa "me" mwenzio!!mi nahisi ni kama masharri ya waganga vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv n kweli alimla yule mm au n stor tu?
Sio story rafiki was true

Yule bmkubwa alikua anashoboka sana na washkaji wa mwanawe kinoma noma,mpk baba K yasemekana alimla bimkubwa yaani anapenda viben6,wajua kilichohappen mpk ex baba Siwema kugombana na dogo ni kua yule mzee wa popo bimkubwa alimshobokea ,jamaa akaona mizinguo akakisanua live mbele ya Washkaji kua bimkubwa nyosooo....ndo ushkaji ukaisha..ndo maana [emoji184]bimkubwa alivoolewa kashukuru sana tena mnooo maana alikua wa ovyoooo!!Mji huu acha kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mjin Kwa sasa hata Choo cha bure
Hakuna lazma utalipia hata Kwa 50

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Pale buguruni sheli kiomboi pharmacy kuna shoe shiner pembeni ameweka bango"kukaa 500" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kaweka na kibenchi kabisaaa!!!!
Mjini bure salamu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom