Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hawa si wajinga na wanapenda sana show off za hapa na hapa, Matokeo Yao Siri ikijulikana ni kuachwa au kufa siku si zako kama kina masongange
MasoG si alikua Mtambo wa Kidatu au kuna lingine?
 
Alaf n wajinga yani na pesa Yao yote Lakin
Wanaolewa wake wadogo wote aiseee
Na hawakai wanaachaika
Queen bado yupo na mmewe, japo mmewe ss hv amerudisha majeshi kwa mke mkubwa. Huyo esma ndoa yake hta mwez haijafika ikavunjika
 
Haya mambo bwana n kama
Yana ukwel maana anayoyafanya
Bi mkubwa na mtoto wakat
Mwingine unashangaa

Yani bi mkubwa wangu anawezaje
Kumiambia niachane na huyo
Mwanamke bila sababu za msingi
Mama anashindana na wanawake wa mwanawe ka wake wenzA
 
Ni kweli kabisa , Huyo demu Hadi huwa hapokei simu za Mama Yake.

Mama Hadi anafunga safari za kimya kimya kuja Dar
Huyo mama hajielewi anajali hela kuliko utu wa mwanawe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…