usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Tanesco wako kazi na umeme waUnamaanisha nn apa?
Rea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanesco wako kazi na umeme waUnamaanisha nn apa?
Mama kaiharibu hyo family baada ya dogoSs kwin na hyo bin laden ss hv si hawana undugu wowote
Walikua wapo krb sana, karibu video zote za ndombolo na yy alikuwepo.Ile wakati Kama ndombolo hakupita
Cjui aisee
MasoG si alikua Mtambo wa Kidatu au kuna lingine?Hawa si wajinga na wanapenda sana show off za hapa na hapa, Matokeo Yao Siri ikijulikana ni kuachwa au kufa siku si zako kama kina masongange
Alikua anamthamin sn kuliko hata esma. Queen ndo wa kwanza kununuliwa gar na kk mtu. Esma kaja kununuliwa baadae snLakin dogo naona hamthamin
Kwin Kama anaviwadhamn esm na bi mkubwa
[emoji91][emoji91][emoji91]Nani apo sasa au uyu alie rudi mawinguni?...Tanesco wako kazi na umeme wa
Rea
Hta harus ya queen dogo aligharamia hd esma na mm mtu kuona wivu. Ndo esma kuingia kichwa kichwa kwa msizwa ili na yy afanyiwe shughuli km mwenzieLakin dogo naona hamthamin
Kwin Kama anaviwadhamn esm na bi mkubwa
Alaf n wajinga yani na pesa Yao yote LakinHta harus ya queen dogo aligharamia hd esma na mm mtu kuona wivu. Ndo esma kuingia kichwa kichwa kwa msizwa ili na yy afanyiwe shughuli km mwenzie
Aaah kumbeAlikua anamthamin sn kuliko hata esma. Queen ndo wa kwanza kununuliwa gar na kk mtu. Esma kaja kununuliwa baadae sn
Mtambo wa kidatu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]MasoG si alikua Mtambo wa Kidatu au kuna lingine?
Queen bado yupo na mmewe, japo mmewe ss hv amerudisha majeshi kwa mke mkubwa. Huyo esma ndoa yake hta mwez haijafika ikavunjikaAlaf n wajinga yani na pesa Yao yote Lakin
Wanaolewa wake wadogo wote aiseee
Na hawakai wanaachaika
Hivi leo umepata muda wa kula kweli, au nikuletee hapo hapo unapochart dinner?[emoji28]Mtambo wa kidatu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Au ilikua prank? [emoji1787]Mtambo wa kidatu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ubahili hadi wa msosi wako banaWatan zetu hawa wamezid kwakweli
Na hawabadilik
Mama anashindana na wanawake wa mwanawe ka wake wenzAHaya mambo bwana n kama
Yana ukwel maana anayoyafanya
Bi mkubwa na mtoto wakat
Mwingine unashangaa
Yani bi mkubwa wangu anawezaje
Kumiambia niachane na huyo
Mwanamke bila sababu za msingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]poleMimi baada ya kupitia uzi.
View attachment 1893345
Huyo mama hajielewi anajali hela kuliko utu wa mwanaweNi kweli kabisa , Huyo demu Hadi huwa hapokei simu za Mama Yake.
Mama Hadi anafunga safari za kimya kimya kuja Dar