Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Utajiri uje kiurahisi labda uwe ulizaliwa kwa familia ya kitajiri, ila kwetu watu wakawaida una hustle hatari ikiwemo kutumia mbinu chafu
Yah mbinu chafu na mpaka upate mtu akupe line ya maana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wengi wanawahigi wakiingia kwenye chain ya ngano! Ila kinyume na hapo utasaga lami tu
 
My dear wakishapataga visent vyao vya haramu wakifungua vimiradi aisee wote mtaonekana hamjui kupambana nakwambia! Yaani tutaandikiwa ma list ya motiveshen speech ndio utajua hujui.
Hahahahah kumbe muuza kitimoto wa β€œMapumziko Park” nae ni muuza ngano tu pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani kwa maisha yapi yale mara wako β€œBali” mara Dubai mara Zenji ina maana vipodozi anauza yeye pekeake nchi nzima?
 
Hahahahah kumbe muuza kitimoto wa β€œMapumziko Park” nae ni muuza ngano tu pia [emoji23][emoji23][emoji23] yani kwa maisha yapi yale mara wako β€œBali” mara Dubai mara Zenji ina maana vipodozi anauza yeye pekeake nchi nzima?
[emoji1][emoji1][emoji1]et anauza yy pekeake
Nchi nzima[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Utajiri uje kiurahisi labda uwe ulizaliwa kwa familia ya kitajiri, ila kwetu watu wakawaida una hustle hatari ikiwemo kutumia mbinu chafu
Yes unaweza kurithi UTAJIRI ndo kuupata ishu itakuja kwenye kuumiliki YAANI KUULINDA INATEGEMEA na upatikanaji wake yaan source yake ulipatikana vipi...Kama njia safe Basi utaulinda kwa njia hizo safe Kama njia mbaya the same...
 
Nikiwaza kile kiharufu cha ngenya chakavu duh! Vibi huwa vinanukaga harufu za ajabu flani halafu et kijana mtanashati nizamie pangoni nipige deki [emoji18][emoji18][emoji18]
Kwahiyo tuseme wewe huwa unanusa, au mnusaji ndiyo maana unajua harufu yake? [emoji851][emoji851][emoji851]
 
Uzi wa wapumbavu na kwa ujinga huu ccm ndio furaha yao kwasababu hamuwasumbui kuwaza hatma yenu na ya vizazi vyenu ambayo wao ccm hawataki muijadili wanafurahi wakiona mnajadili maisha ya watu hivyo Basi nyie wote mnaochangia Uzi huu mlaaniwe na ni wasaliti wa vizazi vyenu vijavyo.
 
Unasema waliochangia walaaniwe
Kwa hyo na ww umejilaan tayar
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hamna utajiri unaokuja kiwepesi! Ili kufikia zile pesa bwana Madini alitakiwa aparangane 40 years atleast!

Ila yeye kajipiga piga ndani ya 7 years muelekeo ukawa tayari! Piga hesabu tu 2013-2021 mjuba alipo now! Kunayo namna aisee
Mbona anasemwa hana utajiri huo..kwamba anakua overrated pesa za kawaida tu ila show off kibao.

Mimi hapo ndipo napataga ukakasi
 
Kuhairisha wakat genye zishapanda ni ngumu ila baada ya kikosi cha kwanza cha wareno kutoka basi shughuli inaishia hapo
Unajua kwanini fisi ananuka sana tofauti na Simba japo wote wanakula nyama, ni kwasababu yeye anakula mizoga mnoo, kwahiyo jitahidi kutafuta [emoji3][emoji3].
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…