Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
"k" ya Uwoya siipatii picha, kwa namba ya watu waliopita itakuwa kama chema ya maji taka.
 
S2keez bebi...analamba umeme tu. Halaf wanaa wanatindua bila huruma...kuna dogo mmojaa anaitwa heri muzik..mtoto mdogo akaendaga kuyavagaa kwa vadi..daaah.nkasema hiv hawa watoto waadogo wanamjua vadi kweli...
Ila alikuja kimuacha huyo vadi , hlf alimdhalilishaga sn mbele ya wafanyakaz wenzie
 
Huyo her mzk alkw na project, bas vadi akamsindikiza redion mawingu. Ss watangazaj wakamuuliza her anamchukuliaje huyo vadi her akasema ni mshikaj wake. Weee wkt hpo tyr vad kashaulizwa na kashasema km heri n mpenz wake na bla bla kibao. Yn hiyo siku huyo her alichezea kichambo insta htr. Yn n km alimdhalilisha mwenzie mbele ya wafanyakaz wenzie n mbele ya wasikilizaji
 
Duhhhh anapenda kuchamba yule then anajifanya mzungu mfyyuuu
 
Kuna wimbo kaimba Ney wa Mitego unaitwa hapa sawa nadhani! Duh kawachana Omar Mashimo, Mzee wa Heart Machine na Dogo Mshamba!

Motokaa aliyohongwa Omar Mashimo,ndiyo alihongwa Huda! Huyu Ney wa Mitego jamani! Ni noma aiseeee
 
Kuna wimbo kaimba Ney wa Mitego unaitwa hapa sawa nadhani! Duh kawachana Omar Mashimo, Mzee wa Heart Machine na Dogo Mshamba!

Motokaa aliyohongwa Omar Mashimo,ndiyo alihongwa Huda! Huyu Ney wa Mitego jamani! Ni noma aiseeee
Umetoka lini?!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…