Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hata hzo habar na mm nliziskia
Hvo hvo Ila c n aibu jaman
Mbunge mzma kuolewa ndoa ya 3
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sasa c awekwe Tu kwenye kundi
La wadangaj
Aibu moja sasa angetuliaga tu na ndoa yake ya ujanani tu au asingeolewa tena maana kubadili dini uzeeni na ndoa ya wengi kutamshinda tu huyo
 
Aibu moja sasa angetuliaga tu na ndoa yake ya ujanani tu au asingeolewa tena maana kubadili dini uzeeni na ndoa ya wengi kutamshinda tu huyo
Hata paweza huko na ubunge wake
Hao wake wenzie watamtoa hata Amin

Kama sio kumdangia bwana pm
Bas angekua kwenye ndoa yake bado
Mpaka sasa Ila tamaa ndo
Chanzo
 
Ni manzi ipi hiyo mkuu?
 
@Extrovert @reymage kuna fail mmeliacha kabisa ila wambeya wote tuna haki ya kua nalo yule naibu wazir wa michezo awamu ya tano
 
Hajui ku Play low key in life ni kila kitu for future use. Slow slow kazaa na yule bongo movie na aliongoza viti maalumu mkoa wake sasa na shangaa ilikuwaje hajaenda mjengoni licha ya kuzaa na huyo slow slow
Ni dada yupi huyo wa bongo movie..codes tafadhali ndugu
 
Code ya director please
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…