Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hata hzo habar na mm nliziskia
Hvo hvo Ila c n aibu jaman
Mbunge mzma kuolewa ndoa ya 3
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sasa c awekwe Tu kwenye kundi
La wadangaj
Aibu moja sasa angetuliaga tu na ndoa yake ya ujanani tu au asingeolewa tena maana kubadili dini uzeeni na ndoa ya wengi kutamshinda tu huyo
 
Aibu moja sasa angetuliaga tu na ndoa yake ya ujanani tu au asingeolewa tena maana kubadili dini uzeeni na ndoa ya wengi kutamshinda tu huyo
Hata paweza huko na ubunge wake
Hao wake wenzie watamtoa hata Amin

Kama sio kumdangia bwana pm
Bas angekua kwenye ndoa yake bado
Mpaka sasa Ila tamaa ndo
Chanzo
 
Dah ina maana wa Bagawise alipiga pia ile mama dah[emoji23]!!! Yule mzee nimemvulia kofia aisee,,,mtoto nilimuona sana kwenye movie za Mussa banzi zile nikawa namtamani japo nilikuwa home boy kumbe mzee wa Mipapai kashatia ki Zygote [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni manzi ipi hiyo mkuu?
 
@Extrovert @reymage kuna fail mmeliacha kabisa ila wambeya wote tuna haki ya kua nalo yule naibu wazir wa michezo awamu ya tano
 
Hajui ku Play low key in life ni kila kitu for future use. Slow slow kazaa na yule bongo movie na aliongoza viti maalumu mkoa wake sasa na shangaa ilikuwaje hajaenda mjengoni licha ya kuzaa na huyo slow slow
Ni dada yupi huyo wa bongo movie..codes tafadhali ndugu
 
Halafu director alitengana na mmewe ujue akawa anadate na kikaka nimesahau jina lake...juzi hapa naskia karudisha majeshi kwa mzee baba! Nilichoka yaani hawa wadada hawajielewagi mnoo...wanataka kuolewa kwenda kuona mkato wa chumba tu,siku mbili wanaendeleza kudanga uhuni wao mtu umeolewa kutulia hutaki chaahh

Sent using Jamii Forums mobile app
Code ya director please
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom