Atafte watu wazima Fred mwenyewe katili palepale uwanjani kamkumbatia hamisa, na jezi ya Simba akavaa juu, I do believe pressure za jamii zinamfanya ahangaike maisha ni zaidi ya ndoa, mwanaume wake atakayempenda yupo tu aiseeUmri umeenda.......... sio kosa lake na ndivyo inavyokuwa japokuwa dada yangu bingwa wa kupinga, tunao mtaani wana maisha mazuri..... ila sasa hawana ndoa na hata wanao wapata ni chapa ilale.
Yeye ni mheshimiwa aache hyo tabia aiseeNoma sana! DC mvurugaji balaa
Watu wazima wana wake zao au labda awe nyumba ndogo.Atafte watu wazima Fred mwenyewe katili palepale uwanjani kamkumbatia hamisa, na jezi ya Simba akavaa juu, I do believe pressure za jamii zinamfanya ahangaike maisha ni zaidi ya ndoa, mwanaume wake atakayempenda yupo tu aisee
Lazima akubaliane tu na Hali hii mitazamo ya jamii na kuona marriage ndio achievement huwa iko wrong sana bana, wakati vijijini Hadi vichaa wanaolewa ila watu wanaona hyo ni achievement kwa mwanamke wa mjiniWatu wazima wana wake zao au labda awe nyumba ndogo.
Vijiji gani hivyo? mtu aache mwali/kigori akaoe ke age imeenda,halafu ukizingatia ke ni wengi kuliko me, hata wazee vijijini ambao umri umeenda wanataka vigori.Lazima akubaliane tu na Hali hii mitazamo ya jamii na kuona marriage ndio achievement huwa iko wrong sana bana, wakati vijijini Hadi vichaa wanaolewa ila watu wanaona hyo ni achievement kwa mwanamke wa mjini
Si kweli kijijini mtu wa 25 years mzee na Bibi kabisa tofauti na watu wa mjini mkuu, tembea uone Mimi nilikuwa nasalimia watu shikamoo nawaona wazee kuambiwa miaka Yao Mimi dada Yao kabisaVijiji gani hivyo? mtu aache mwali/kigori akaoe ke age imeenda,halafu ukizingatia ke ni wengi kuliko me, hata wazee vijijini ambao umri umeenda wanataka vigori.
Sio kutembee sie wengine sehemu ya maisha yetu tumekulia huko.Si kweli kijijini mtu wa 25 years mzee na Bibi kabisa tofauti na watu wa mjini mkuu, tembea uone Mimi nilikuwa nasalimia watu shikamoo nawaona wazee kuambiwa miaka Yao Mimi dada Yao kabisa
There you are, kijijini unakuta msichana ana 25 lakini kachoka utadhani ana miaka 40 huko! Anazaa kila baada ya miaka 2,hakuna matunzo! Yeye ni asubuhi kisimani,shambani na kurudi home! Hata PADS hawavai wale,wanavaa matambalaSi kweli kijijini mtu wa 25 years mzee na Bibi kabisa tofauti na watu wa mjini mkuu, tembea uone Mimi nilikuwa nasalimia watu shikamoo nawaona wazee kuambiwa miaka Yao Mimi dada Yao kabisa
Huo ndio ukweli vijijini watu huzeeka mapema hasa wanawake aisee miaka 30 Bibi kabisa kachokaThere you are, kijijini unakuta msichana ana 25 lakini kachoka utadhani ana miaka 40 huko! Anazaa kila baada ya miaka 2,hakuna matunzo! Yeye ni asubuhi kisimani,shambani na kurudi home! Hata PADS hawavai wale,wanavaa matambala
Mimi nimetembea kwingi kule watu huchakaa mapema sanaSio kutembee sie wengine sehemu ya maisha yetu tumekulia huko.
Humjui bwanaa!!accha bassi!Huyo mmoja ni yupi
Uko sahihi kabisa kuna dogo amenizidi mwaka mmoja ana ujukuu na tuko mid'30's ila ukimuona km mkubwa kwangu sana!Si kweli kijijini mtu wa 25 years mzee na Bibi kabisa tofauti na watu wa mjini mkuu, tembea uone Mimi nilikuwa nasalimia watu shikamoo nawaona wazee kuambiwa miaka Yao Mimi dada Yao kabisa
Kweli huchakaa mapema na ndio maana hufuata vigori na kuwaacha walio chakaa.Mimi nimetembea kwingi kule watu huchakaa mapema sana
Huo ndio ukweliUko sahihi kabisa kuna dogo amenizidi mwaka mmoja ana ujukuu na tuko mid'30's ila ukimuona km mkubwa kwangu sana!
Kigori wa kijini 20 year's kafubaa tofauti na dada wa mjini mwenye hela banaKweli huchakaa mapema na ndio maana hufuata vigori na kuwaacha walio chakaa.
Tatizo lako unakalili, mbona wengi na wajua 20+ bado wapo vizuri, sijui labda huko ulipo tembelea ww.Kigori wa kijini 20 year's kafubaa tofauti na dada wa mjini mwenye hela bana
Hii habari alikusimulia hamisa mwenyewe au moo? Maanà umeongea as if ulikuwa mshikaji mmguuMmh huyu huyu Hamisa ambaye nasikia alikuwa anamfukuzia na kumtega mo de wigi wa simba, akidhani atahongwa walau gari akaishia kupewa laki 1 na kuliwa kwa mpalange..
Nasikia mo de wigi ni mbahili sana, anakula wadada kwa mpalange na hahongi pesa nyingi kama the late Mzee machache reymage
Mkuu wewe mbishi unalinganishaje dada wa mjini anayekaa kwa ac na yule wa kijini anayexalishwa daily, hafu hyo ya joketi sio issue sana kila binadamu anakua so kubagua mtu kisa age na kumlaumu not fair flaniTatizo lako unakalili, mbona wengi na wajua 20+ bado wapo vizuri, sijui labda huko ulipo tembelea ww.
Ila husimlaumu Joketi, age mmeenda na hao anaowapata ndiyo machaguo aliyokuwa nayo kwa sasa.
Hiii iko uku kwetu tz Hapo kenya jirani zetu baada ya 32 ndio umri wa mabinti kuanza kutafuta family ila huku sasa ufike 28 bado unaonekana vp sijui watu wabadilike mfumo wa maisha ya utafutaji kwa wanawake ndio umechangia vyote ivyo.Mkuu wewe mbishi unalinganishaje dada wa mjini anayekaa kwa ac na yule wa kijini anayexalishwa daily, hafu hyo ya joketi sio issue sana kila binadamu anakua so kubagua mtu kisa age na kumlaumu not fair flani