Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Umri umeenda.......... sio kosa lake na ndivyo inavyokuwa japokuwa dada yangu bingwa wa kupinga, tunao mtaani wana maisha mazuri..... ila sasa hawana ndoa na hata wanao wapata ni chapa ilale.
Atafte watu wazima Fred mwenyewe katili palepale uwanjani kamkumbatia hamisa, na jezi ya Simba akavaa juu, I do believe pressure za jamii zinamfanya ahangaike maisha ni zaidi ya ndoa, mwanaume wake atakayempenda yupo tu aisee
 
Watu wazima wana wake zao au labda awe nyumba ndogo.
 
Lazima akubaliane tu na Hali hii mitazamo ya jamii na kuona marriage ndio achievement huwa iko wrong sana bana, wakati vijijini Hadi vichaa wanaolewa ila watu wanaona hyo ni achievement kwa mwanamke wa mjini
 
Vijiji gani hivyo? mtu aache mwali/kigori akaoe ke age imeenda,halafu ukizingatia ke ni wengi kuliko me, hata wazee vijijini ambao umri umeenda wanataka vigori.
 
Si kweli kijijini mtu wa 25 years mzee na Bibi kabisa tofauti na watu wa mjini mkuu, tembea uone Mimi nilikuwa nasalimia watu shikamoo nawaona wazee kuambiwa miaka Yao Mimi dada Yao kabisa
 
Sio kutembee sie wengine sehemu ya maisha yetu tumekulia huko.
 
Si kweli kijijini mtu wa 25 years mzee na Bibi kabisa tofauti na watu wa mjini mkuu, tembea uone Mimi nilikuwa nasalimia watu shikamoo nawaona wazee kuambiwa miaka Yao Mimi dada Yao kabisa
There you are, kijijini unakuta msichana ana 25 lakini kachoka utadhani ana miaka 40 huko! Anazaa kila baada ya miaka 2,hakuna matunzo! Yeye ni asubuhi kisimani,shambani na kurudi home! Hata PADS hawavai wale,wanavaa matambala
 
Huo ndio ukweli vijijini watu huzeeka mapema hasa wanawake aisee miaka 30 Bibi kabisa kachoka
 
Si kweli kijijini mtu wa 25 years mzee na Bibi kabisa tofauti na watu wa mjini mkuu, tembea uone Mimi nilikuwa nasalimia watu shikamoo nawaona wazee kuambiwa miaka Yao Mimi dada Yao kabisa
Uko sahihi kabisa kuna dogo amenizidi mwaka mmoja ana ujukuu na tuko mid'30's ila ukimuona km mkubwa kwangu sana!
 
Kigori wa kijini 20 year's kafubaa tofauti na dada wa mjini mwenye hela bana
Tatizo lako unakalili, mbona wengi na wajua 20+ bado wapo vizuri, sijui labda huko ulipo tembelea ww.

Ila husimlaumu Joketi, age mmeenda na hao anaowapata ndiyo machaguo aliyokuwa nayo kwa sasa.
 
Mmh huyu huyu Hamisa ambaye nasikia alikuwa anamfukuzia na kumtega mo de wigi wa simba, akidhani atahongwa walau gari akaishia kupewa laki 1 na kuliwa kwa mpalange..

Nasikia mo de wigi ni mbahili sana, anakula wadada kwa mpalange na hahongi pesa nyingi kama the late Mzee machache reymage
Hii habari alikusimulia hamisa mwenyewe au moo? Maanà umeongea as if ulikuwa mshikaji mmguu
 
Tatizo lako unakalili, mbona wengi na wajua 20+ bado wapo vizuri, sijui labda huko ulipo tembelea ww.

Ila husimlaumu Joketi, age mmeenda na hao anaowapata ndiyo machaguo aliyokuwa nayo kwa sasa.
Mkuu wewe mbishi unalinganishaje dada wa mjini anayekaa kwa ac na yule wa kijini anayexalishwa daily, hafu hyo ya joketi sio issue sana kila binadamu anakua so kubagua mtu kisa age na kumlaumu not fair flani
 
Hiii iko uku kwetu tz Hapo kenya jirani zetu baada ya 32 ndio umri wa mabinti kuanza kutafuta family ila huku sasa ufike 28 bado unaonekana vp sijui watu wabadilike mfumo wa maisha ya utafutaji kwa wanawake ndio umechangia vyote ivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom