Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katelephone mubaya huyo in jotis voice loh. Ila hawa wasanii sanaa haiwalipi ni njaa Kali kilichobaki ni ujasiriamwili
Wanadanga kishenzi 😅
 
Aah nshamjua sio huyu katoka kunifungua juzi kati hapo....ana michunusi balaa

Sasa mbona basha ake ni marioo, yule jamaa ana hela kweli?[emoji848]
Ewaaaa!!umepata 100%kunywa Savannah bill kwangu!Weee shosti ndo huyo huyooo!mshikaji ana mzigo balaaaa wa mbesaa tena alimhamishia nyuu housi...upoooo?!!!!!!bidada yule akaendekeza umalaya bwanaa!kaingiza kiben10 ndani kumbe nyuma ina CCTV Mme anaona mchezo woteee!
Talaka 3 si mke wangu...upooooo.!!!!!?!!!!!
Ingawa yule mshikaji mdogo lakini mpungo anao wa kuoa kikongwe kama yule alogoma kutulia wakati alistiriwa maskini..
Mwee kweli kunguru hafugikiiii!!!
 
Shida hata uufanyie nini mwili kila kipindi huwa kina wakati wake ukipita hata ufanyaje haurudi ndio yaliyo mkuta wema. Mobeto hata mtoto wa kwanza alitoa mafuta tumboni. Kiukweli mimi sionagi big deal na makalio sijui vile ni mwanamke
Wema amekuwa kama fido dido😅
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…