Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Aah nshamjua sio huyu katoka kunifungua juzi kati hapo....ana michunusi balaa

Sasa mbona basha ake ni marioo, yule jamaa ana hela kweli?[emoji848]
Ewaaaa!!umepata 100%kunywa Savannah bill kwangu!Weee shosti ndo huyo huyooo!mshikaji ana mzigo balaaaa wa mbesaa tena alimhamishia nyuu housi...upoooo?!!!!!!bidada yule akaendekeza umalaya bwanaa!kaingiza kiben10 ndani kumbe nyuma ina CCTV Mme anaona mchezo woteee!
Talaka 3 si mke wangu...upooooo.!!!!!?!!!!!
Ingawa yule mshikaji mdogo lakini mpungo anao wa kuoa kikongwe kama yule alogoma kutulia wakati alistiriwa maskini..
Mwee kweli kunguru hafugikiiii!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom