Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hahaaa na hyo tae kwondo sio ya nchi hii aisee, alitaka kumfanya mwenzake awe single mom watoto watu eti kwa kumvisha na pete na duka azaliwe mtoto wee dhubutu
Fyekelea hukoo!tupa kuleee
 
Dc mrembo hana hata mtoto, kizuri cha ukimwi ukiwa na pesa utaushi zaidi ya miaka 50 kama huyo uwoya hafi leo maana nasikia pesa zipo hadi za kuogea maziwa mwili mzima.

Haya yotee bado tu wanasema hana nyumba hivi inawezekana kweli?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kimsingi ukifikia hapo nyumba ni swala la maamuzi tu
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yule maji yalishamwagika alaf
Naona jamaa wa kupanda dau
Labda hawajafka

Maana nenga alikua anaonekana
Kama kina whoz Tu na wenzake
Hapo ndo naona Mrs hawez lea yy anataka
Kulelewa
Hahahahah!!!demu wa kipare anakula ugali kwa picha anahonga?!nenga kachemka sana falaa yule!! Akaze p atafute pesaa!
 
Watoto wanapenda mauzo halafu hela hawana 😅
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…