reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Fyekelea hukoo!tupa kuleeeHahaaa na hyo tae kwondo sio ya nchi hii aisee, alitaka kumfanya mwenzake awe single mom watoto watu eti kwa kumvisha na pete na duka azaliwe mtoto wee dhubutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fyekelea hukoo!tupa kuleeeHahaaa na hyo tae kwondo sio ya nchi hii aisee, alitaka kumfanya mwenzake awe single mom watoto watu eti kwa kumvisha na pete na duka azaliwe mtoto wee dhubutu
Hawawezi hao ni dhaifu sana, shishi mwenyewe mwili mkubwa ka big show[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]sasa mtu Kama whoz
Au rommy anaweza mtbezea kipgo shishi au tunda[emoji1][emoji1][emoji1]
Uzuri ni ka qute 😅 katatafunwa kama ilivyo ada ya mabaharia!Sasa mpare mfupi vile watu watajilia na kusepa
Mme wa Dada muuza msosi anaitwa ROM...nani sijui!!!ndo mmemaanishaKwa Roma kimenuka tena
Best usiwachukulie legelege wakishukia unaweza Shangaa Shishi anapigwa kipigo cha mbwa na WhozHawawezi hao ni dhaifu sana, shishi mwenyewe mwili mkubwa ka big show
Huyu bwana hafai atatufanya tufungiwe thread na ban juu![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Majaliwa
Dhuuuu aiseeee huko Kwa motoSomalia mkuu
Wasubiri kuliwa na vikongwe, muda si muda yule mzee wa Yanga yule mchawi ataanza kuwagonga...yuleWanastaafu wakiwa malofa hio ndio mbaya
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kimsingi ukifikia hapo nyumba ni swala la maamuzi tuDc mrembo hana hata mtoto, kizuri cha ukimwi ukiwa na pesa utaushi zaidi ya miaka 50 kama huyo uwoya hafi leo maana nasikia pesa zipo hadi za kuogea maziwa mwili mzima.
Haya yotee bado tu wanasema hana nyumba hivi inawezekana kweli?
Ngoja nkutumie miraa KeshoMsomali
Mzee Lupili 😅😅😅 muhuni sanaWasubiri kuliwa na vikongwe, muda si muda yule mzee wa Yanga yule mchawi ataanza kuwagonga...yule kibogoyo jina limenitika
Hahahahah!!!demu wa kipare anakula ugali kwa picha anahonga?!nenga kachemka sana falaa yule!! Akaze p atafute pesaa![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yule maji yalishamwagika alaf
Naona jamaa wa kupanda dau
Labda hawajafka
Maana nenga alikua anaonekana
Kama kina whoz Tu na wenzake
Hapo ndo naona Mrs hawez lea yy anataka
Kulelewa
hahahahahah😅😅😅In box ndiye aliye finance mtaji wa mamantilie food
Hafai ataletata maafa mpelekeni chemba hukoo!!hapa codes tuuu!wengine vigogo bwanaa!hahahahahha!!!Anazingua huyo code moja tunatumia program 5 kumfungulia bado haelewi
Sasa hao ndo Lele mama wagongewa wakionaHawawezi hao ni dhaifu sana, shishi mwenyewe mwili mkubwa ka big show
Mbona kupo vizuri mkuuDhuuuu aiseeee huko Kwa moto
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Best usiwachukulie legelege wakishukia unaweza Shangaa Shishi anapigwa kipigo cha mbwa na Whoz
Mtu au cheo?
Watoto wanapenda mauzo halafu hela hawana 😅Kilichomupeleka agha khani nini bila kukata bima kubwa ya jubilee insurance nini why Ali choose operation, hawa mastaa wetu followers wengi ila hawana kitu hadi operation achangiwa maana agha Khan operation tu bei ya gari ndogo si angeenda mwananyamala au sinza palestina hospital zetu walala hoi
Hapa nilipo natafunaNgoja nkutumie miraa Kesho