Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Goba milima milima siyo flat labda useme changombe hv au tabata. Vipi kuna nyumba kali? Mana kuna boya kanichukulia manzi yangu huko nikajua uswazi.
Nyumba kali zipo za wenye hela zingine za kizamani yani mixer sema mandhar mazuri sana mitaa imepangika sio zile nyumba zimeshikana kama mbegu za papai hapana! Kuna hewa nzuri
 
Sasa hamisa si mdangaji anatafta fursa so kwa Mo aliingia Cha kiume mwamedi hahongi hovyo na anapenda kusererekea kwa mpalange akikupa laki shukuru Mungu
😅😅😅 Dah huu uzi balaa.... Picha za Hamisa za Sasa hivi zinavutia, japo sijakutana naye live hivi Karibuni.
 
Ila zile zama za Msoga Empire watu walimenya sana Life! Yani kulikuwa na aina flani ya maisha ambayo dah ni ngumu kuyaelezea[emoji28]!!!

Kila mtu aliekuwa mkabala na wana Mboga mboga alipiga life ikafikia watu wakahisi kuwa yale maisha yatadumu milele kumbe hata bao huisha utamu likishatoka lote!
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Dogo mshamba[emoji28] angejiweka classy kama Lulu angeishia pazuri! Kujivunia kupigwa mashine na mshika mic toka “Mkwajuni Village” Chunya ni umandazi
Si ndo kukosa exposure hawa wasanii ukitoka nao unapata gundu tu wema mwenyewe alianza kupoteza focus baada ya kuanza kutoka na diamond sasa nawaza hawa wasanii hulogana nyota au kitu gani?
 
Kudadeki huyu mzee Machache kumbe alikuwa kiwembe na alikuwa mgonjwa wa long ndio maana walitengana na wife, dah kumbe kapita hadi na rest fishy babaq, maua Sam'a hadi na kina dokii loh.
I think madam Rita benefited from mengi kuliko mama wawili maana tangu will itoke kawa mpole maskini
Mawifi zako hao!!
 
Si ndo kukosa exposure hawa wasanii ukitoka nao unapata gundu tu wema mwenyewe alianza kupoteza focus baada ya kuanza kutoka na diamond sasa nawaza hawa wasanii hulogana nyota au kitu gani?
Hahahahha Manunu hata sio Diamond! Ila tu alikosa washauri wazuri...Kama kuna watu walisafiria nyota yake ni Martin Kadinder😅 na Tivu akee😅
 
As long as anatumia dawa zake.... Mostly huwa wanakuwa salama kama wasio na ngoma.

Ngoma ingekuwa rahisi hivyo wengi sana wangeshaukwaa- Ila celebrities wengi ni wamoto, kuwa makini [emoji28]
Aisee kwanini umfate mgonjwa ukichubuka bahati mbaya siunakwaa aisee. Hata wanaotoka na wasanii ni ma risk taker ni sawa na kukumbatia bomu mda wowote tu linakupata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom