Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Yule mwamba nae vipi anatumia miti miti kwenye biashara zake?
Anapuliza kama kawa, alafu ile siyo biashara kuu, fatilia wauza nguo wote kuanzia robyone, hussein pamba kali na wengine zile biashara wanatakatishia mpunga wa nyeupe.

We kuna biashara ya kuipa simba b2 mle ndani jiulize. Ogopa sana mtu anayependa kuelezea background yake aliyopitia kibiashara mara nyingi analazimisha kufuta mawazo ya "kapata wapi mtaji" kwa jamii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom