Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Aiseeee😅Masaki mchezo? Kuna mtu aliniambia ana m800 nikamtafutie nyumba ya kununua nikajua hapa lazima nitoboe kamisheni nipate hata crown, nilimaliza soli pea za kutosha sikuambulia kitu.