[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] wanaume mnapenda sana wanawakeInatosha mkuu sema kuna raha yake, siyo unaenda kujifia na kansa huko unateseka mi operation kama yote. Unakula viagra then unakula mbususu kwa raha zako paradisoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyumba kali zipo za wenye hela zingine za kizamani yani mixer sema mandhar mazuri sana mitaa imepangika sio zile nyumba zimeshikana kama mbegu za papai hapana! Kuna hewa nzuriGoba milima milima siyo flat labda useme changombe hv au tabata. Vipi kuna nyumba kali? Mana kuna boya kanichukulia manzi yangu huko nikajua uswazi.
Siku mingi sana hyo chombo iko kwa gridKile chombo kumbe ni mtambo wa kufua umeme pia[emoji28]!!! Ina maana mwendazake alikuwa anatusakizia Tanesco wana wa uhalawe kidongo chekundu!
😅😅😅 Dah huu uzi balaa.... Picha za Hamisa za Sasa hivi zinavutia, japo sijakutana naye live hivi Karibuni.Sasa hamisa si mdangaji anatafta fursa so kwa Mo aliingia Cha kiume mwamedi hahongi hovyo na anapenda kusererekea kwa mpalange akikupa laki shukuru Mungu
Mkuu ujue hawa wadada hutoa hadi kwa mpalange hapo kuna usalama gani, na ujue sumu haionjwi kiutani utaniHawezi kuwamaliza, wala vidonge wanaweza kuambukiza kwa nadra sana.
Atazidi kugawa tu lakini siyo kuambukiza wengine kirahisi rahisi
Si ukicheck tu sehemu anazosemekana kupita ni madude yaliyojazia haswa[emoji23][emoji23]ana penda magongingo sio eeh
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Ila zile zama za Msoga Empire watu walimenya sana Life! Yani kulikuwa na aina flani ya maisha ambayo dah ni ngumu kuyaelezea[emoji28]!!!
Kila mtu aliekuwa mkabala na wana Mboga mboga alipiga life ikafikia watu wakahisi kuwa yale maisha yatadumu milele kumbe hata bao huisha utamu likishatoka lote!
Si ndo kukosa exposure hawa wasanii ukitoka nao unapata gundu tu wema mwenyewe alianza kupoteza focus baada ya kuanza kutoka na diamond sasa nawaza hawa wasanii hulogana nyota au kitu gani?Dogo mshamba[emoji28] angejiweka classy kama Lulu angeishia pazuri! Kujivunia kupigwa mashine na mshika mic toka “Mkwajuni Village” Chunya ni umandazi
Wawe makini umu kuna mtu anamla celebrity ganiAs long as anatumia dawa zake.... Mostly huwa wanakuwa salama kama wasio na ngoma.
Ngoma ingekuwa rahisi hivyo wengi sana wangeshaukwaa- Ila celebrities wengi ni wamoto, kuwa makini [emoji28]
Maskini best yangu alifanyaje afungue account nyingine Yule huwa ni mdau mzuri sana wa ubuyuAna ban moja takatifuuuuu!sijui aliyabananga wapii!!!
Ulikuwa upendo masilahi huo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hakuna G5 wala G7 mwenye mizizi kakata baasi kila mtu na lwake!
Mawifi zako hao!!Kudadeki huyu mzee Machache kumbe alikuwa kiwembe na alikuwa mgonjwa wa long ndio maana walitengana na wife, dah kumbe kapita hadi na rest fishy babaq, maua Sam'a hadi na kina dokii loh.
I think madam Rita benefited from mengi kuliko mama wawili maana tangu will itoke kawa mpole maskini
Hata sijui, siwezi kuthibitisha chochoteWawe makini umu kuna mtu anamla celebrity gani
Ndio tuzidishe code's Uzi usije fungwaHapo sasa....uchawi tuu!akizeeka atakua mwanga
Hahahahha Manunu hata sio Diamond! Ila tu alikosa washauri wazuri...Kama kuna watu walisafiria nyota yake ni Martin Kadinder😅 na Tivu akee😅Si ndo kukosa exposure hawa wasanii ukitoka nao unapata gundu tu wema mwenyewe alianza kupoteza focus baada ya kuanza kutoka na diamond sasa nawaza hawa wasanii hulogana nyota au kitu gani?
Madam Rita baba giriki na mama mkagame ujueWifi mama wawili alishindwa kumtumia mzee na ukute alimwarakisha kufa akifikiria ataridhi vitu. Madame Rita was real kwa mzee
Aisee kwanini umfate mgonjwa ukichubuka bahati mbaya siunakwaa aisee. Hata wanaotoka na wasanii ni ma risk taker ni sawa na kukumbatia bomu mda wowote tu linakupataAs long as anatumia dawa zake.... Mostly huwa wanakuwa salama kama wasio na ngoma.
Ngoma ingekuwa rahisi hivyo wengi sana wangeshaukwaa- Ila celebrities wengi ni wamoto, kuwa makini [emoji28]
Ila wema kichwani ni empty set hafu eti alikuwa mtoto wa balozi nadhani kukosa shule kume mu cost big time Plus umaarufu na kukosa mtu wa kumu shapeHahahahha Manunu hata sio Diamond! Ila tu alikosa washauri wazuri...Kama kuna watu walisafiria nyota yake ni Martin Kadinder[emoji28] na Tivu akee[emoji28]