Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Cariha bwanaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]daahh
 
Acha kabisaa kamkomesha handsome balaa!!!yaani ubavu hana hamu na Mrs wake!na hapiti 2025 atafute tu chimbo lingine ila Kule kwa wanyaki ishakula kwake!
Yaani Mr.anajutaaa balaa
Hata hayati kuondoka kutakuwa kumemfuraisha handsome boy mno jeuri kwishney, hapo betina anawaza tu hatima yake after 2025
 
Eeh hapo ndipo jabali alikuwa anacheza kama pele[emoji28][emoji28][emoji28] ila kaacha kijiji nyuma! Vile vichwa 7 vya kilioni ni first eleven tu ila kuna Sub za kutosha!
Hahaaa eti vichwa 7 ni first eleven bado nyingine, hafu kipindi cha mwishoni jabali alikuwa anajipooza kwa malaika wa utamu wa nanasi after miss DC kuzingua na katibu kata,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…