Alizaa nae we huoni kila mtt na baba ake, shoga ako yanamfika mazito, anaroga usiku na mchanaAfu ujue mr singeli alizaa kweli na yule chikonda wa magic fm... mweeh umbea utatuua wallah[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mtu mzima aloolewa uzeeni mwenye hips kama sinia za mandi juliana, bwana ake ndo danga la Tessy ?Yule shogaake director joan na yy anauzaga vipodozi kuna kpnd alikua anafundisha kupika online
Haya turudi darasa la 3b[emoji3]
Na hapo ndoa ilifungwa kijusi kilikua kishatungwa... mi nikashangaa kwa mashauzi yake mbona ndoa imepooza km uji uliotiwa chumvi ya maweAlizaa nae we huoni kila mtt na baba ake, shoga ako yanamfika mazito, anaroga usiku na mchana
ndo mana hata ndoa ilipooza kama mkojo wa ngedere, bwana zipu mkononi
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh habar ndo hiyo shoo, alikua mme kabisaa ndo hvyo akafumaniwa tena ndani ndo bwana kuhamia kwa mtoto tessyYule mtu mzima aloolewa uzeeni mwenye hips kama sinia za mandi juliana, bwana ake ndo danga la Tessy ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mr Singeli anawalamba kama wote, anakuja nao mpk kwenye vikao yule Malkia wa uingereza habari yake ishaisha ametulia tu saivi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji16]halafu yasemekana wanakulana mpk kesho eti yule betina na bwana Chidi...Afu ujue mr singeli alizaa kweli na yule chikonda wa magic fm... mweeh umbea utatuua wallah[emoji23][emoji23][emoji23]
Uko vzr umeelewa sana na Sana'a!!Yule mtu mzima aloolewa uzeeni mwenye hips kama sinia za mandi juliana, bwana ake ndo danga la Tessy ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndoa yake ilimaliza hata Xmass NNE kweli?!!maana wadada wa mjini kaaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]!hawaoleki..Alizaa nae we huoni kila mtt na baba ake, shoga ako yanamfika mazito, anaroga usiku na mchana
ndo mana hata ndoa ilipooza kama mkojo wa ngedere, bwana zipu mkononi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji17][emoji17][emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]mamaaaa....whaaaaaat?!!!!!!!weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!Dunia hiii....mbea wangu yaani siku zote asinambie mambo hayaaa....sikubalu naenda kumdai pesa yangu ya Savannah nazompa ili abwatuke[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]Haya turudi darasa la 3b[emoji3]
Jaza nafasi zilizoachwa wazi
Od-m- (jaza kwa kutumia herufi ya kwanza kabisaa)
Halafu kimya kimya Dada anavopenda mashauzi yule ila kafanya km ya mkeka au kaogopa juju kwa wake wenzaa!![emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na hapo ndoa ilifungwa kijusi kilikua kishatungwa... mi nikashangaa kwa mashauzi yake mbona ndoa imepooza km uji uliotiwa chumvi ya mawe
Hahahahah kudadeq walai! Hahah Ajibu akaja kufanya yake mjengoniπEwaaa....ndani alifunga CCTV bwana mdogo kaja kuilia home kabisaa....mchezaji Mpira tena wa hizi timu zetu 3 kubwaa....!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Najitahidi [emoji2][emoji2][emoji2]
nmeona Tessy yuko Kwenye majangwa[emoji23][emoji23][emoji23] sema nae ajifunze kuvaa anavaa kama MashaEeeh habar ndo hiyo shoo, alikua mme kabisaa ndo hvyo akafumaniwa tena ndani ndo bwana kuhamia kwa mtoto tessy
Shoga ako nyimbo hana anasingizia utu uzima [emoji28][emoji28][emoji28] Mambo yalonyooka utayaona tu bila darubiniNa hapo ndoa ilifungwa kijusi kilikua kishatungwa... mi nikashangaa kwa mashauzi yake mbona ndoa imepooza km uji uliotiwa chumvi ya mawe
Mtoto Eliza ile miundombinu yake ya uso tu anaonekana anaifinyia kwa inside π maana ana tu lipz twa mapenzi tele!Niliwahi kupewa Story, Kuna Mvlana kawapitia wasanii wengi, anamsifia sana Lulu na anamponda Wema eti Hana maaajabuπ
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππWalizitoaje mbegu? Walipasua korodani[emoji16]?
Achaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]yaani kuna wanaume wana ujasiri hata shetani anaogopaa!!Hahahahah kudadeq walai! Hahah Ajibu akaja kufanya yake mjengoni[emoji28]
Ewaaa...kapelekwa na bwana handsome yaani kama umemuona huko majangwani shostiii!!!!!!kaamua ajitulize kwa mtoto mrembo chokoleteee!Najitahidi [emoji2][emoji2][emoji2]nmeona Tessy yuko Kwenye majangwa[emoji23][emoji23][emoji23] sema nae ajifunze kuvaa anavaa kama Masha Shoga ako nyimbo hana anasingizia utu uzima [emoji28][emoji28][emoji28] Mambo yalonyooka utayaona tu bila darubini
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba na kupigwa ban ni ==Ni hulka ya watanzania kupenda umbea na kuchimba maisha ya watu wengine mambo ya msingi Kama katiba hawa wambea wote hutawaona.
Hivi ile the Lux bado ipo au ndio wazee wa Task force wameshafanya yao π[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mama biskuti ni ex wa mkata mauno wa (waclean bebi)na bar ilikua maikocheni nao iko nje ya mji hukoo!!!
Abeeee sio papa francis tenaHana maajabu anajua akitoka pale hana pa kwenda ataonekana kunguru hafugiki muache yamrudie kama alivyokua anawaliza wanawake wenziwe,unajua ashawahi katwa viwembe kariakooo yule na Mke wa MTU enzi hizo kimeacha shule pale perfect vision...[emoji3][emoji16]halafu yasemekana wanakulana mpk kesho eti yule betina na bwana Chidi...
Hivi wajua boss wa singeli anaitwa jina ...Km msanii aloimba Daresalaam Stand up!!!!ndo jina lake haliisi!!!halafu kati kuna moo...
Sent using Jamii Forums mobile app