[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]umeona eeehh!!ndo maana naogopa yaani patachimbika hapaa!!!kiukweli mambo yao meusi mnoo tena sanaa!mpk shetani anashangaa hizo dhambi yeye kwake mpyaa kabisaaa!ndo anaziskiaSio matajiri tu hadi lidas aiseee hebu mdomo koma kwanza tusijechomoa betri humu tukasombwa na kimbunga jobo [emoji3][emoji3][emoji3]
Haa haa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Access Denied...Network error....
[emoji23][emoji23][emoji23]waja wa Uzi mbona wamsagia kunguni uwoya asije akaachwa sasaSisi huyu aliyeko Dubai bwana katelefoni anahonga tuu!!hela zetu za kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu tuchange gear tuingie humu sasa tushawamaliza wadada,[emoji849][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]shoo hapo kwenye mchicha mwiba hapoooo!!!!nna umbea mzitooo balaa...sasa wakaka wa mjini hapa wengi ndo mambo zao shooga anguu...upooo?!!!!!!!
Nikiweka list hapaaa wengine hutaamini natamani mwingine aje kuwataja kama anajua naogopa ntaonekana mbea sanaaa
Yaani wakaka machaja ya kobe tena wengi wengi wengi!hao mastar wenu karibu woteeee!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchicha mwiba shosti,kwani si alitaka kulipuliwa na kaka aliyeacha kuwasemea wanyama wa pale msimbazi!!!!Wake alishapiga chini wote nje sijajua km anakua mme bado au mkeee
Apumzike kwa Amani, si alikuwa anasema ni sponsor wake wa muziki![emoji23]Mpakanjia
Huyo chikonda naskia ni mwanga mbaya sanaAfu ujue mr singeli alizaa kweli na yule chikonda wa magic fm... mweeh umbea utatuua wallah[emoji23][emoji23][emoji23]
niecheki pm mkuu 😅😅Mie nafungua jumatatu ijayo
Wa ilala usiniangushe bwanaaa!au unakaa ilala ya bonyokwaaa!!!Mkuu zote nimetembea nazo ila huyu kila nkisugua kichwa haji..
Yule mchicha mwiba halafu ujue ,kuna na....na....na...na....daahhh!list inajaaa!!!mdomo komaaa miyeee!!Uwiii nimesahau alishatoka mawinguni yupo kule kwa Mr singeli
Laana mara 2? Hakuna kitu kama hichoMoyo wauma kodi zetu wananchi zinachezewa siye....Leo hii Mimi kutoa elf10 nikatwe buku mbili kweli?!!!Mungu anawaonaaa hawa lidaz na watalaaniwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaachika na kichanga chake kisa uhuniYule mtu mzima aloolewa uzeeni mwenye hips kama sinia za mandi juliana, bwana ake ndo danga la Tessy ?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji16][emoji16]na juu kubaya!!!sheenzyyyy!!!Lakini nyie chini kutamu acheni kabisa
Anarurusha roho Sanaaa sasa..akati ela zetu wenyewe mi nakatwa 2810 kwenye kutoa 20k loooohhh!!baasi ale pole pole na kimya kimya kama wenziweee!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]waja wa Uzi mbona wamsagia kunguni uwoya asije akaachwa sasa
Yani huu uzi ukiwa tu mpenda udaku na mpenz wa insta basi code wala hazikusumbui kbs.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]waaaapiiii dadaaa!!alimlaa utamuu!!!Apumzike kwa Amani, si alikuwa anasema ni sponsor wake wa muziki![emoji23]
Mtihani hukoo kuna balaa Yale mashauzi kumbe wadada wenzetu wale!Mkuu hebu tuchange gear tuingie humu sasa tushawamaliza wadada,
Tuamie kwa wavaa suruali
[emoji851][emoji851]ya kwanza ipi?!!!Laana mara 2? Hakuna kitu kama hicho
Kabissa yaani zinateleza tuuu!!pyaaaa!Yani huu uzi ukiwa tu mpenda udaku na mpenz wa insta basi code wala hazikusumbui kbs.
Hivi huyo spokeswoman naye kumbe ni moto wa kuota mbali maana naona kila mtoto na babakeHivi ndoa yake ilimaliza hata Xmass NNE kweli?!!maana wadada wa mjini kaaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]!hawaoleki..
Kama kuna watu hawavumi lakini wamo ni spokeswoman wa mnyamaa..yule nae kivuruge hatarii...
Simba mwendo mdogo mdogo yule!
Sent using Jamii Forums mobile app