Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Sio matajiri tu hadi lidas aiseee hebu mdomo koma kwanza tusijechomoa betri humu tukasombwa na kimbunga jobo [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]umeona eeehh!!ndo maana naogopa yaani patachimbika hapaa!!!kiukweli mambo yao meusi mnoo tena sanaa!mpk shetani anashangaa hizo dhambi yeye kwake mpyaa kabisaaa!ndo anaziskia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji849][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]shoo hapo kwenye mchicha mwiba hapoooo!!!!nna umbea mzitooo balaa...sasa wakaka wa mjini hapa wengi ndo mambo zao shooga anguu...upooo?!!!!!!!

Nikiweka list hapaaa wengine hutaamini natamani mwingine aje kuwataja kama anajua naogopa ntaonekana mbea sanaaa
Yaani wakaka machaja ya kobe tena wengi wengi wengi!hao mastar wenu karibu woteeee!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu tuchange gear tuingie humu sasa tushawamaliza wadada,
Tuamie kwa wavaa suruali
 
Hivi ndoa yake ilimaliza hata Xmass NNE kweli?!!maana wadada wa mjini kaaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]!hawaoleki..
Kama kuna watu hawavumi lakini wamo ni spokeswoman wa mnyamaa..yule nae kivuruge hatarii...

Simba mwendo mdogo mdogo yule!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo spokeswoman naye kumbe ni moto wa kuota mbali maana naona kila mtoto na babake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom