Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dah ina maana wa Bagawise alipiga pia ile mama dah😂!!! Yule mzee nimemvulia kofia aisee,,,mtoto nilimuona sana kwenye movie za Mussa banzi zile nikawa namtamani japo nilikuwa home boy kumbe mzee wa Mipapai kashatia ki Zygote 😂😂😂Hata yule bongo movie alizaa nae mtoto wa kiume hanshamu boy mwenye jina km la wale watoto wa marehemu aliyeondoka na bongo movie yake