Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Chikonda alivoona yule mpare ana force sana, pia yule dada kumshambulia kisa Mwendazake na mimba uzalendo uka mshinda
Ila Mpare alikuwa kashanyakua taji dakika za majeruhi sema ndio hivyo bwana alitoa na akatwaa kiumbe chake 😂 story ikaishia Muleba!
 
Eeh watu waheshimiwe jamani[emoji28] sponsor hudanjar! Na akifa watu wanapoteana kabisa yani [emoji23][emoji23][emoji23]! Betina ndoa itakuwa imekata na cheo hana sasa sijui ataelekea wapi!

Jamaa sema naskia aliwatafuna mno yani kwa kupitia mgongo wa Ilani ya chama[emoji28]
Huko chamani had upate kitu lazima utafunwe haswa mpaka basi
 
Hahahaha baada ya kuanza kuvaa sare na yule mchimba chumvi wake pale uhalawe kidongo chekundu nilimsikia alwatani Jabali akimtia spana kwenye kadamnasi kuwa “Nilishamwambia aachane na mambo ya wake za watu” [emoji23][emoji23][emoji23] ila Jabali alikuwa Mwamba sana yani. Hapo hapo akadai jamani wananchi hii pisi hamuioni jamani imenyooka namna hii! Akawasakizia wahuni wamtafune DC bigjii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jabali aliumizwa sana na kitendo cha mrembo na aliongea kwa uchungu, ila ilibidi ampotezee aende kwa mrembo mwingine
 
Kuna mmoja yule aliye chorwa na Da vinci kazalishwa na wanaume watatu tofauti mambo yake kimya kimya,kavunja ndoa ya mwigizaji mwenzake CHAI (in English) aliye olewa na 🎤🎤🎤 ndoa ya kanisani. Yeye na CHAI haziivi mpaka sasa na inavyosemekana mpaka sasa kamganda 🎤🎤.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jabali aliumizwa sana na kitendo cha mrembo na aliongea kwa uchungu, ila ilibidi ampotezee aende kwa mrembo mwingine
Hahahah yani kuna matukio yanachekesha sana dah! Mtu kaumia kisa hawara yani halafu kwa hasira akamchapa barua mchimba chumvi akalie na mkewe huko😂😂😂😂😂😂
 
Ss hv mpare angekua mrs fulani, mana hd kwny msiba alipewa kipaumbele sn km mke vile, dah sema ndo hivo kifo kimeharibu mambo.
Naona alimweka sub mMzee wa Tag ubavu ,alikuwa anampa utam kimya kimya,ila wanawake Mungu anawaona, hata mwaka hujaisha baada Jasiri kutangulia mbele ya haki, Mzee wa Tag akamvalisha pete.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom