Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hata yule bongo movie alizaa nae mtoto wa kiume hanshamu boy mwenye jina km la wale watoto wa marehemu aliyeondoka na bongo movie yake
Dah ina maana wa Bagawise alipiga pia ile mama dah😂!!! Yule mzee nimemvulia kofia aisee,,,mtoto nilimuona sana kwenye movie za Mussa banzi zile nikawa namtamani japo nilikuwa home boy kumbe mzee wa Mipapai kashatia ki Zygote 😂😂😂
 
Imeisha hio! Mtoto wa mzee Chilo mbongo movie..Ile baby face hata mie ningeruka nayo!
Ni mtamu Sana yule kuanzia sauti Hadi visigino .... Sijui kwa nini aliacha kuimba.

Nasikia ni balozi wa wazungu huko . Mambo ya michezo kwa wanafunzi
 
Ni mtamu Sana yule kuanzia sauti Hadi visigino .... Sijui kwa nini aliacha kuimba.

Nasikia ni balozi wa wazungu huko . Mambo ya michezo kwa wanafunzi
Aah kashapewa shavu nini! Maana kipindi kile Jabali anapigiwa chapuo sindio alikuwa kifront kwenye zile jingle za mboga mboga majukwaani😂
 
Ila huyo mdd yn yuko cool. Amejitahid sn hana maskendo sn km bongo muvi wenzie
 
Sheby wa kawaida tu, huyo kimbaumbau alipewa tu connection ili kumkomoa mzazi mwenza
Sema hivi hana taarifa kuwa minjiks chikonda aka Era-Lighting yuko kwenye grid ya taifa! Au ndio kufukuzia kitonga ya ile 40% ya pale mawinguni ya hayati GERU.
 
Nenda kwa code shoo ngoja nikusaidie mmoja upande wa lidas yule aliyekuwaga kule kwnye ile sekta ya kijani kibichi akapigwa chini na stone sasa wa nyuma yake[emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092]
Naaanza na code na mojaaa....

Mwenye jina linalofana na chakla la kinaijeria...yule kakamkubwaz winner!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alifata jina tu huyo kuna watu ma risk taker sana
Na zile mbwembwe za mjengo mkali mixa basket court ndani ila kweli kidume mwenye dough anaenda kuishi kwa manzi! Mkisema jamaa ana mzigo nakuwa sielewi😅
 
Mama mwenyewe hana Mme,mtoto atapata wapi Mme zaidi yakudanga tu,sema yeye udangaji wake ni wakificho sana,sio kama tutusa Kajala! Binti ana kiburi shetani anasubiri!
Yule alishaolewa two times rafiki maana yule second boni wake kama gabachori hivi alibadili mpk dini akaolewa mosque wedding after failure from chachi marriage!!upoooo?!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…