Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao.

Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta.

Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost. Handbags, viatu na perfume alinunua YSL, Gucci, na Channel.

Alishazoea kulala five star hotels. Mzee alikua ana credit account yake kila mwezi. Kwakua yuko busy na familia yake walionans kwa nadra sana.

Siku danga liliposema it’s over between us dada alipata mental break down.
[emoji3][emoji3]kwann huwa hawafanyi vitu vya maana?

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Wanavurugwagwa balaa na uchizi juu.

Uwoya nae akishatemwaga na maboss zake anapoaga sana na show off zinaishaga anakua kimyaaa...sema ana kismat sana hakai mda mrefu anarudi kwenye reli km kawaida...ila anajisahau sana huyu Dada!wenzie wanamsikitikia sana.

Yaani kwa bata la Uwoya kibongobongo sio poa!hajiongezagi hajui kua ataachwa na atachunda anaamini kila Siku atawika tu!halafu wanamnangaga sana hao mashosti zake.

Sasa we shopping Dubai badala ya kuwekeza km wenzao kina Vera na Huddah wanaendekeza starehe
Yaani Dubai ushaenda unaenda kufanya nn tena kwa muda mrefu hivyo? Duh kweli nimeamini hizi hela za uasherati na uzinzi hazina maendeleo

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Soon atapoteza relevance yake huyu. Albinism imekuwa excuse kuna na mwingine naye alikuwa mkorofi na ana mahasira huyo na mkorofi kisa hali yake huea najiuliza huko vichwani huwa kuna wadudu huwapanda na kuwaumiza wengine makusudi?
Defensive mechanism hyo ndo wanatumia ila siku zake si nyingi zinahesabika!Mara nyingi walemavu ndo walivyo!haji akikutongoza ukikataa anamind kisa anajua umemkataa kwa kua ni albinism kumbe wala sio kwa sababu hyo ila ndo mtu wa kujishtukia
 
Defensive mechanism hyo ndo wanatumia ila siku zake si nyingi zinahesabika!Mara nyingi walemavu ndo walivyo!haji akikutongoza ukikataa anamind kisa anajua umemkataa kwa kua ni albinism kumbe wala sio kwa sababu hyo ila ndo mtu wa kujishtukia
Zihesabike tu sitaki hata kusoma utopolo mwanaume mzima anaji behave ka si mwanaume mwenye koromeo yeye ni full kujiona ni mkubwa kuliko team, na daily ilikuwa kuwatukana wana habari wenzake,

pia si atangaze bidhaa za baharesa bila kumponda Mo, kashanitoka huyu mpuuzi kila ofisi huwa ina changamoto ila sio ujinga wake huu
 
Zihesabike tu sitaki hata kusoma utopolo mwanaume mzima anaji behave ka si mwanaume mwenye koromeo yeye ni full kujiona ni mkubwa kuliko team, na daily ilikuwa kuwatukana wana habari wenzake, pia si atangaze bidhaa za baharesa bila kumponda Mo, kashanitoka huyu mpuuzi kila ofisi huwa ina changamoto ila sio ujinga wake huu
Anaboa haji kiukweli na kachemka sema watu wanampa bichwa ngoja ligi ianzs ndo atajua kua hajui!!nimemuona falaaa tu Mimi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom