Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Bado hujamtajaKuna danga flani mume wa mtu gwiji la kuhonga mjini sasa shoga ake tessychocolate akamuibia na kumfungulia biashara na mambo mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujamtajaKuna danga flani mume wa mtu gwiji la kuhonga mjini sasa shoga ake tessychocolate akamuibia na kumfungulia biashara na mambo mengi.
Japo simjui ila ninaamini unalosema,hawezi kuwa MTU wa kawaidaSponsa wa Uwoya ni mtu mzitoooooo!naogopa kumtaja acha ale bata kiukweli mda wake huu!!mji una mambo huuu!!!
Kumbe mpumbavu tu km wenzie,hajajifunzaKigogo wa serikali ya JMT top vigogo waleee!anampenda kufaaa!Dada anahongwa balaa!ila mashosti wanasikitika hana hata kiwanja!!!!
[emoji3][emoji3]kwann huwa hawafanyi vitu vya maana?Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao.
Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta.
Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost. Handbags, viatu na perfume alinunua YSL, Gucci, na Channel.
Alishazoea kulala five star hotels. Mzee alikua ana credit account yake kila mwezi. Kwakua yuko busy na familia yake walionans kwa nadra sana.
Siku danga liliposema it’s over between us dada alipata mental break down.
Yaani Dubai ushaenda unaenda kufanya nn tena kwa muda mrefu hivyo? Duh kweli nimeamini hizi hela za uasherati na uzinzi hazina maendeleoWanavurugwagwa balaa na uchizi juu.
Uwoya nae akishatemwaga na maboss zake anapoaga sana na show off zinaishaga anakua kimyaaa...sema ana kismat sana hakai mda mrefu anarudi kwenye reli km kawaida...ila anajisahau sana huyu Dada!wenzie wanamsikitikia sana.
Yaani kwa bata la Uwoya kibongobongo sio poa!hajiongezagi hajui kua ataachwa na atachunda anaamini kila Siku atawika tu!halafu wanamnangaga sana hao mashosti zake.
Sasa we shopping Dubai badala ya kuwekeza km wenzao kina Vera na Huddah wanaendekeza starehe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]balaa kabisaaa![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hii cha mtoto
Omba ufunguliwe pm zao
Kama hujakimbia[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Defensive mechanism hyo ndo wanatumia ila siku zake si nyingi zinahesabika!Mara nyingi walemavu ndo walivyo!haji akikutongoza ukikataa anamind kisa anajua umemkataa kwa kua ni albinism kumbe wala sio kwa sababu hyo ila ndo mtu wa kujishtukiaSoon atapoteza relevance yake huyu. Albinism imekuwa excuse kuna na mwingine naye alikuwa mkorofi na ana mahasira huyo na mkorofi kisa hali yake huea najiuliza huko vichwani huwa kuna wadudu huwapanda na kuwaumiza wengine makusudi?
[emoji848]top 3Hapana sio wa tozo anatoka na top 3 wale ndo sponsa wake!anahonga balaa!!!!Uwoya anajidai kwa kua kwao yuko njema ila ataishia kubaya
Yaani Dubai ushaenda unaenda kufanya nn tena kwa muda mrefu hivyo? Duh kweli nimeamini hizi hela za uasherati na uzinzi hazina maendeleo
Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
Kigogo wa serikali ya JMT top vigogo waleee!anampenda kufaaa!Dada anahongwa balaa!ila mashosti wanasikitika hana hata kiwanja!!!!
SanaaaUjue anaweza akawa anamchezea kwa vidole na kumhonga basi wanawake tuna siri sana
[emoji23][emoji23]Lazima papuchi itumike kwa mikakati sio unaumia tu danga likiondoka unakonda hayo ni matumizi mabaya ya papuchi na huku fainali uzeeni
[emoji119][emoji119][emoji848]Wema anajuta kukata utumbo alidhani kukata utumbo simba atamrudia kumbe ndo kajimalizaa...mondi hana ht mdaa!halafu ujue Uwoya kaenda ongeza lips?!! Na kingine kafanya surgery sura kaivutaa...
Mwenzenu mbeaaaa...chaaaa!ntasutwaaaaaaaaaaa!!!
[emoji3][emoji85][emoji85]Nyie nnavopenda wallet Kwanza
Mnaanzaje[emoji1][emoji1]
We mzuri sana kumbe...?Ni ujinga kudanga na kutoka na mume wa mtu bila kuweka investment zako za kueleweka huku unahangaika na mapochi and show off tu, wooi mimi siwezi huo ujinga
Zihesabike tu sitaki hata kusoma utopolo mwanaume mzima anaji behave ka si mwanaume mwenye koromeo yeye ni full kujiona ni mkubwa kuliko team, na daily ilikuwa kuwatukana wana habari wenzake,Defensive mechanism hyo ndo wanatumia ila siku zake si nyingi zinahesabika!Mara nyingi walemavu ndo walivyo!haji akikutongoza ukikataa anamind kisa anajua umemkataa kwa kua ni albinism kumbe wala sio kwa sababu hyo ila ndo mtu wa kujishtukia
[emoji23][emoji23][emoji23] kawaida sana tu
Kabisa ukishakapeleka Kigali unistue...warumi katakuwa kadada karembo Ila katakuwa kambea nitaftie contact zake nikapeleke Kigali kwetu.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Hapanaaa nimehisii mtu flan hiviii....!!?[emoji23][emoji23][emoji23] kawaida sana tu
Anaboa haji kiukweli na kachemka sema watu wanampa bichwa ngoja ligi ianzs ndo atajua kua hajui!!nimemuona falaaa tu Mimi!Zihesabike tu sitaki hata kusoma utopolo mwanaume mzima anaji behave ka si mwanaume mwenye koromeo yeye ni full kujiona ni mkubwa kuliko team, na daily ilikuwa kuwatukana wana habari wenzake, pia si atangaze bidhaa za baharesa bila kumponda Mo, kashanitoka huyu mpuuzi kila ofisi huwa ina changamoto ila sio ujinga wake huu