Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Natabiri baada ya Vera kuzaa wataachana, ujue vera alitaka mwanaume mzuri ili angalau apate katoto kazuri.
Ila nowdays hii tabia ya wanaume kuolewa na wanawake inakua sana
Ngoja azae Onyango😂
 
Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao.

Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta.

Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost. Handbags, viatu na perfume alinunua YSL, Gucci, na Channel.

Alishazoea kulala five star hotels. Mzee alikua ana credit account yake kila mwezi. Kwakua yuko busy na familia yake walionans kwa nadra sana.

Siku danga liliposema it’s over between us dada alipata mental break down.
walai 🤣🤣🤣 lazma angepagawa
 
Anaboa haji kiukweli na kachemka sema watu wanampa bichwa ngoja ligi ianzs ndo atajua kua hajui!!nimemuona falaaa tu Mimi!
Huyo atasahaulika tu ndo atajua hajui, sehemu ulipowahi kupitia sio pa kunyea kambi akiba ya maneno muhimu, mbona hata sie hatufanyi kwa wahindi ina kutofautiana huwa kupo na kukwazana ila tuna samehe tu, maana we are not perfect
 
[emoji3][emoji3][emoji3]usinambie humjuii!au hukua mjini kipindi hiko au ulikua bado shule wasoma!CK jamani alivotesa na Wema mpk anakodiwa private jet anaenda kula bats Arusha....Wema anamtia vibao meneja wa hotel hadharani...!!Wema mpk akaanza kuitwa madame!!!Weee hapana chezea CK kwa wema
Nyumba ya 270mils,kumbe kapangaa!!!hapana wema amekula nchi jamani[emoji3][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji3][emoji16][emoji16]hatasahau yaani wema Leo wa kukaaa mbagala kuu huko ndani ndani![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!!
Anakwambia " kuk with Wema sepetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom