Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah shurti wareno watue pangoni 😅😅😅 unaweka kugawa nyumba ya urithi!Huwa sijibu maswali hadi nifikishe watalii tunduni, unajua ukiwa unapanda mlima na safari imekolea utagawa gari, nyumba na viwanja hivi hivi[emoji1787][emoji1787]