Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mjini hapa Hamisa kwa sasa anadanga kwa akili balaa yule yuko vzr kilife
Mmh huyu huyu Hamisa ambaye nasikia alikuwa anamfukuzia na kumtega mo de wigi wa simba, akidhani atahongwa walau gari akaishia kupewa laki 1 na kuliwa kwa mpalange..

Nasikia mo de wigi ni mbahili sana, anakula wadada kwa mpalange na hahongi pesa nyingi kama the late Mzee machache reymage
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yule maji yalishamwagika alaf
Naona jamaa wa kupanda dau
Labda hawajafka

Maana nenga alikua anaonekana
Kama kina whoz Tu na wenzake
Hapo ndo naona Mrs hawez lea yy anataka
Kulelewa
Nenga tozi nyaa,,,mzee wa nyuzi 45’ za utelezi alitegemea ata sustain game mda mrefu kweli! Sema uchawi ulianzia pale mzaa chema alipompiga alama ya bomoa 😅😅😅
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yule maji yalishamwagika alaf
Naona jamaa wa kupanda dau
Labda hawajafka

Maana nenga alikua anaonekana
Kama kina whoz Tu na wenzake
Hapo ndo naona Mrs hawez lea yy anataka
Kulelewa
Sasa mpare mfupi vile watu watajilia na kusepa
 
Ha
Mmh huyu huyu Hamisa ambaye nasikia alikuwa anamfukuzia na kumtega mo de wigi wa simba, akidhani atahongwa walau gari akaishia kupewa laki 1 na kuliwa kwa mpalange..

Nasikia mo de wigi ni mbahili sana, anakula wadada kwa mpalange na hahongi pesa nyingi kama the late Mzee machache reymage
hahahhaha kila nikiwaza mzee wa Mo Halisi na michakato yake huwa sina budi kucheka tu 😂😂😂😂😅😅😅😅😅
 
Mobeto yuko njema wenyewe wanakubali na hawashobokei na vile sio tipwa tipwa mbaya zaidi Alma's zile mchangani kwa sasa nooo...ni x kama ex pure Ex weeee!
Mobeto kwa sasa ni [emoji91][emoji91]fire alijifunza baada ya kuchekwa na kuzalilishwa mno na kina diamond na mama dangote na yeye hamisa ka move on kina mama dangote wamenuna, hafu naskia mobeto naye kakamilisha mjengo wake wa hatari hapa mjini
Balaa hayati nuksiiii hatasahaulikaa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa Acha kabsa
Mwamba hakuna anakopesha dam yani

Hapo ndo mama juju alichoka
Baada yakuona sasa imezd
Maana Mrs nenga nae alikua ndan
Kupokea moto
Balaa yaani [emoji3][emoji3][emoji3]mmecheka mnooo
[emoji23][emoji23][emoji23]eti vifungashio vya msd
Yasemekana kaukwaa hatuna uhakika maana hatujui wanakopimia huko hali zikoje
Mama nenga yeye hakusajiliwa tanesco?
Tessy nuksi silent killer yuleee anakula vichwa kama kinyoziii!!!ukimuona mpole weeee kahaba na nusu na robo
Aseee ni balaa

Ndo maana kapoaaa hataree, ila Tessy anakula vichwa yule demu mweeeh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom