Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Ile ni IVF mkuu ..mbegu zinakamuliwa then zinakuwa injected kwa fullopian
Si sawa ni kuwa mayai yanatolewa kwa mwanamke pia. Fertilisation inafanyika katika test-tube. Baada ya kupata embryo inaigizwa katika tumbo la mwanamke yeyote ambaye ameandaliwa kupokea mimba. Hivyo unaweza kununua sperm na ukanunua ovaries kutoka kwa watu tofauti na ukaiweka mimba katika tumbo la mwanake tofauti, mtoto akazaliwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom